Wanachuo hatuandikishwi kwenye BVR?

Wanachuo hatuandikishwi kwenye BVR?

Lelloh

Member
Joined
May 6, 2015
Posts
53
Reaction score
9
Maana kila nikipiga hesabu naona janga maana zimebaki wiki mbili alafu hakuna hata dalili zozote za kuandikishwa

Inamaana tukishafunga ndo watakujaaa?

Mikoani kwa baadhi tayarii ebu niambie ndugu wanachuo hatuna haki?

Au ndo UCCM umeanza?
 
chuo gani upo maana vyuo vingine ambavyo mikoa yake zoezi limepita washaandikisha
 
Yotw ndo yale yale. Kwani hata wakiwaandikisha now wakati wa uchaguzi si mtakuwa mikoa ya nyumbani kwenu? Mtapiga vipi kura?
 
Vyuo vyote dar es salaam bado atujaandikishwa na ndo zimebaki siku kadhaa wengine tunafunga tunakoelekea wameshamaliza kuandikishwa sasa inamaana kwetu sisi ndo imetoka hivyo?
 
Vyuo vyote dar es salaam bado atujaandikishwa na ndo zimebaki siku kadhaa wengine tunafunga tunakoelekea wameshamaliza kuandikishwa sasa inamaana kwetu sisi ndo imetoka hivyo?

Ngoja tufunge tukahimize kupiga kura kwa wale waliojiandikisha,Nadhani hata hii itakuwa imesaidia japo haitaondo ukweli kwamba Haki ya mwanachuo ya kupga kura imeminywa.
 
Udom ipi???mbona wenzako wamejiandikisha

nakumbuka walikuja wa vitambulisho vya taifa na si BVR. Ni social hivyo wengi tumelazimika jiandikishia mjn na ng'ong'ona kwa watu wa education
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom