Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,447
- 10,785
FUTUHI
Ni kundi la komedi Star TV! Binafsi vichekesho vyao vng havichekeshi ata! Kidoogo yule muha anajitahidi na Okechi, wengine naona kama wanalazimisha sana!
Kinachonikera zaidi karibu kila habari/kisa lazima wapigane! Inamaana kufikiria kwao kumeishia hapo?
Ze Comedy
Hawa ni wachekeshaji EATV
Hawa ndo kabisaa waboaji. Kinachonikera kwao ni yale mavazi yao ya hovyo hovyoo. Labda watoto ndo watacheka. Mara mamiwani ya hovyo kama matoy! Mmmh, Komed za Tz bado!
Komedi za Tz naona kama bado. Makundi yetu ya komedi yanazidiwa na wakenya na waganda kama Eric Omondi na Kansiime ambao mara nyingi husimama alone!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums