Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,758
- 42,874
futuhi ni uchafu,tangu lini msukuma akachekesha mtu!
hahaaaa nimecheka sanaaaaa...
futuhi ni uchafu,tangu lini msukuma akachekesha mtu!
Futuhi mpango mzima.
ZeKomEdIhAmna kitukAbisaUkitTaka kucHekAnjOojaMiiFoLum TuuUuuu
Nafikiri hana wivu wowote kama kuna mapungufu kayasema na wasanii wetu wajitahidi,Yes kuna watu wapo TZ wanafanya vizuri ila kama mtu akikwambia ubunifu umepungua anakuamsha uzidi kubuni zaidi..kwangu mimi naona yuko sawa tu..kwangu mie napenda comedy zote FUTUHI,KANJANJA TIME,CHURCHIL LIVE, ERICK OMONDI, KANSIIME ANNE hata Zekomedy wapo smart ila kuna baadhi ya Episodes zinakuwa shallow hata kansiime mwenyewe kuna kipindi anakuwa hayuko sawa sana...ni mtazamo wake na huu ni wa kwangu tu...Amani zaidi
Uko sahihi kabisa mheshimiwa! Maonesho ya Futuhi ya star tv kwa mtazamo wangu ni kwa ajili ya watoto na si watu wazima. Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuchekeshwa na mtu anayemkata mtama mtu mwingine au kumtishia kumzaba kibao. Kupigana, kuzozana, ndio visa vikuu vya futuhi na kwa ajili hiyo visa hivi huwavutia zaidi watoto.Ze Comedy
Ni kundi la komedi Star TV! Binafsi vichekesho vyao vng havichekeshi ata! Kidoogo yule muha anajitahidi na Okechi, wengine naona kama wanalazimisha sana!
Kinachonikera zaidi karibu kila habari/kisa lazima wapigane! Inamaana kufikiria kwao kumeishia hapo?
Ze Comedy
Hawa ni wachekeshaji EATV
Hawa ndo kabisaa waboaji. Kinachonikera kwao ni yale mavazi yao ya hovyo hovyoo. Labda watoto ndo watacheka. Mara mamiwani ya hovyo kama matoy! Mmmh, Komed za Tz bado!
Komedi za Tz naona kama bado. Makundi yetu ya komedi yanazidiwa na wakenya na waganda kama Eric Omondi na Kansiime ambao mara nyingi husimama alone!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Napenda zaidi Viroja Mahakamani...hahaaa