Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,832
Mbona Mr. Bean anapiga suti na anachekesha hadi mbavu hatuna
yule Kaumbwa Kuwa Vile ..Yaani tai Shingoni , Kitu King'aa Suti Imepigwa Pasi...Lakin Ukimtazama Usoni Na Vitendo Vyake Lazima Ucheke!!
Mbona Mr. Bean anapiga suti na anachekesha hadi mbavu hatuna
Mpango ni mizengwe..
MIZENGWE ndo kila kitu TZ, wengine wanaibia fani. We angalia hata wadhamini wao. Mfano Futuhi na ze comedy ni airtel tu! Siwez acha kuangalia MizengweNaaam hakuna zaidi ya MIZENGWE hawa jamaa ni balaa
unapoteza muda wako kujadili watu wapo kazini wanaingiza pesa kila siku kama wewe hujapenda komedi yao andaa kikundi wewe na familia yenu mchekesha tuwaone kama wewe unaona ni kazi rahisi.
unapoteza muda wako kujadili watu wapo kazini wanaingiza pesa kila siku kama wewe hujapenda komedi yao andaa kikundi wewe na familia yenu mchekesha tuwaone kama wewe unaona ni kazi rahisi.
Ha ha haaaa! Ni vzr na wanalipwa mshahara, wajitahidi zaid as wanaweza kulipwa zaidi ya hapo!mkuu kill ume mpa kavu za chembe kidevu , nakuhakikishia jamaa mleta mada lazima akae.
ki ukweli watu wana ponda hao jama ila unakuta jamaa hata kiuchumi kampiga gape la maana tu licha ya kwamba unaona wana poteza muda kuliko wewe unaye vaa tai na kujifanya unazo kumbe , choka mbaya. Mjini mipango tu mkuu.
Mbona original comedy hujawataja kuwa nao hawana makali Yale ya zamani. Nisiseme sana sijui nani kalipia bandle
MIZENGWE ndo kila kitu TZ, wengine wanaibia fani. We angalia hata wadhamini wao. Mfano Futuhi na ze comedy ni airtel tu! Siwez acha kuangalia Mizengwe
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
futuhi ni uchafu,tangu lini msukuma akachekesha mtu!
The Best comedy in Tanzania ni FUTUHI...
FUTUHI, Ndiyo Ni FUTUHI.
brother K a.k.a wakukurupuka ha ha ha
Hekenya saluti babaaaaaa
futuhi ni uchafu,tangu lini msukuma akachekesha mtu!
Mbona Mr. Bean anapiga suti na anachekesha hadi mbavu hatuna