habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
kwanini hao waumini wapo kimya? wanakubali vipi watu wasio waisilamu kuwasemea mambo makubwa ili hali wakijua wanaingizwa chaka? tumewachoka banaTatizo siyo waislamu kama waumini bali wale wanaojifanya kuzungumza kwa niaba ya waislamu. Wakati wa Uchaguzi utaona mpaka wanajiapia wakisema CCM ndiyo chama kinachojali waislamu, uchaguzi ukiisha tu wanaanzisha "mihadhara" na mpaka kusoma "Itkaf" kulaani waislamu kubaguliwa na serikali iliyoundwa na chama kile kile walichokipigia chapuo wakati wa uchaguzi!