Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
Juzi niliona video wamasai wakizozana na watu wanaosemekana ni polisi huko Zanzibar mwisho wa siku ilitokea kutokuelewana wakaanza kushambuliana
Baada ya ile video viongozi wakachukuwa hatua
Hapo ndio inadhiirisha tunaongoza na viongoz wenye akili ndogo na mihemko mingi wakurupukaji
Ukiangalia ile video kwa makini siyo wamasai tu wanamakosa ata wale polisi wanamakosa lakini wanaochukuliwa hatua ni wamasai tu hiyo si sawa
Na kitu kingine lile tukio limefanywa na wamasai wachache tu uwezi kutoa adhabu kwa masai wote kuwanyanganya fimbo zao zinazowakilisha utamaduni wao
Na kitu kingine wapo watu walishafanya mauaji na bunduki mapanga sijawai kuona viongozi wamenyanganya watu wote bunduki au mapanga kwasababu kuna watu walichinja watu au kupiga watu risasi
Sasa huyu kiongozi mbona anataka kutoa adhabu kwa wamasai wote kwasababu ya kosa la kawaida la watu wachache
Ata wale polisi nao wachukuliwe hatua nao waliwashambulia wamasai ili haki iwe sawa .