wanachit chat ni mafreemason!!

Thanks Mummy, tena sweetlady nilikuwa nimemtupa kwenye dustbin, ulivyosema nitupe kule nimeenda kumwokota kwenye dustbin, nimemtupa kwenye dampo

Kwenye dampo anaweza akajipukuta akarudi tena ungemuweka kwenye recycle bin kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Nimeamka salama St. Paka Mweusi! Filipo nilimrushia karambo nje siku nyingi sahivi sijui yuko wapi. Mungi anajipendekeza tu ila bado namfikiria.

Walisema avumae chit chat kwa kuwapanga ni Madame B ila hawakujua kama na sweetlady yumo, hapo mume halali nitonye hujamtaja na hawara wako wa viwango Mr Rocky bado, kuanzia leo inabidi Asprin ukifanya ukaguzi uwe unatuletea feedback hapa ili tujue wengine hizo K inu zao zimetengenezwa kwa material gani ati, mtu anawezaje kumudu mijibaba tisa na mikia yao bila shida
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe Baba V naona una hamu ya kutolewa kafara! Subiri.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…