Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
usiogope kaka, kisu hukata kikienda mbele na kikirudi nyuma kinakata piaHuu ni uwongo wa kutisha
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na ccm, wengi wanasema wamechoshwa na siasa za kikabila za cdm na kuamua kurejea ccm kusipo na ukabila wala udini.
Source:katibu wa ccm wilaya bW. Abdilah Finangu.
Hivi huku kuhamahama maana yake nini wandugu?
Wanachama wa chadema kati yao wakiwemo wenyeviti na makatibu 918 wa vitongoji 6 wilayani Meatu? Uko serious mkuu kuwa huko Meatu viongozi wa kata 6 wapo 918?