Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

Wanachama wa CCM maji yamewafika shingoni

Mambo yatasawazishwa, na tutasonga mbele tu.
Hata CCM hairidhishwi na hali hii.
Kama na nyinyi maccm hamridhishwi na hali inayoendelea mbona hiyo "praise and worship for Magufuli" inaendelea bila kukoma??
 
SIO LAZIMA KLA CHAMA KISHIRIKI UCHAGUZI.
Vilivyojitoa viachwe na vilivyobaki vindelee na uchaguzi.
 
SIO LAZIMA KLA CHAMA KISHIRIKI UCHAGUZI.
Vilivyojitoa viachwe na vilivyobaki vindelee na uchaguzi.
Sasa kama wewe unasema hivyo, imekuawje Waziri wako wa TAMISEMI, Suleiman Jafo, alazimishe kuwa majina yote yaliyokatwa yanerejeshwa, na hakuna chama kutamka kuwa wamejitoa??
 
Hata Mugabe enzi zake alijidanganya hivyo hivyo kuwa amewaweka watu wake kwenye hayo majeshi, lakini ikafika wakati wakamgeuka na kumwambia Mzee tuondokee na tuachie Ikulu yetu na Mzee Mugabe akatii!
Baada ya miaka mingapi?? basi sawa kama unaongelea miaka 40 ijayo
 
Kinana alikuwa mwanamkakati mzuri wa kisiasa, ambaye nyakati za uchaguzi aliivusha CCM ktk changamoto nyingi. Lkn waraka wake na mzee mwenzake wakambeza, haya sasa tunashudia vitimbwi vya kisiasa kupitia hawa makada "naive" sampuii ya akina Jafo wakicheza bahati na sibu ndani ya ulingo mpana wa kisiasa bila kujali madhara.
Kumbe nyie mchezo wa puzzle hamuujui vzr, Jaffo alikuwa ni watu wanotajwatajwa na kitengo kumrithi huyo, sasa jamaa kaamua kumvurugia na yeye hajashtuka bado.

Big brains wengi wako nje ya system, wanajua puzzle vizuri!
 
Sasa kama wewe unasema hivyo, imekuawje Waziri wako wa TAMISEMI, Suleiman Jafo, alazimishe kuwa majina yote yaliyokatwa yanerejeshwa, na hakuna chama kutamka kuwa wamejitoa??
Hakuna mgombea huru Tanzania hii, huyo waziri kajichanganya, au kachanganywa.

Wagombea wote ni mali ya vyama vyao,bila chama hugombei nafasi za kisiasa.

Chama kikijitoa hakuna mgombea wa chama hichoatakaye endelea kujiita mgombea, hata kama walipandikiza watu wao basi itawagharimu wao.

Na sio lazima kila chama kishiriki uchaguzi. Waliojitoa waachwe na waliobaki waendelee na uchaguzi.

Huyo waziri wetu wa tamisemi hata akisema ni kujifurahisha, sheria inasema hakuna mgombea huru.
 
Jidanganye......Anawamudu wote hao. Kote huko kaweka watu ambao hawakutegema kukwaa vyeo hivyo
Wewe hujui mambo mengi, unadhani Samuel Doe aliyeuawa kikatili hakuwa na watu jeshini na usalama wa taifa aliyewapa hivyo vyeo?
Nicolai Cessecuae hakuwa na watu jeshini aliowapa hivyo vyeo?
Alipigwa risasi yeye na mkewe kwa amri ya waziri wa Ulinzi aliyemteua yeye mwenyewe ,Ukiwa mpumbavu unadhani kila siku ni Kama jana, ndo mlivyo nyie wana CCM
 
Back
Top Bottom