Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.Kabisa Sky Eclat pia asingetoa rushwa kwa Wabunge ya milioni 10 kila mmoja ili muswaada wake uchwara wa kuminya uhuru wa habari nchini upitishwe bungeni.
Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.
Mkuu utatoa kila aina ya lugha za kifedhuli dhidi ya Rais Magufuli lakini majority ya watanzania wanajua anachokifanya najua Rais Magufuli amegusa Interest zenu nyingi zilizokuwa zikiiletea taifa hili hasara na sifa mbaya. Hicho chama cha Chadema kimegeuka kuwa chama cha Materialistic na Opportunities katika kutafuta madaraka bila hata kuheshimu Demokrasia. Kwa kumaliza President Magufuli is a great asset to United Republic of Tanzania.
Mkuki kwa nguruwe ....Magufuli angechukia rushwa asingempandisha cheo Mnyeti baada ya kashfa ya kununua madiwani
MuhimuAnyehamia CCM ananunuliwa anayehamia Chadema hakununuliwa.
Una uhakika kama mnyeti alinunua madiwani? Au na ww ndio wale wakiambiwa kila kitu ni "yes"Magufuli angechukia rushwa asingempandisha cheo Mnyeti baada ya kashfa ya kununua madiwani
View attachment 625222 Tarehe 12 July mwaka 2015 huko Dodoma alikamatwa mtu mwenye asili ya kiasia akiwa na mabilioni ya fedha za kitanzania ambazo inasemekana mmoja wa ugombea urais alikuwa na mpango wa kuwanunua wajumbe ili wamchague awe mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM. Kitendo kile kililetea sifa mbaya sana CCM kiasi ambacho ni mojawapo ya sababu katika uchaguzi wa 2015 CCM ilipata wakati mgumu katika kampeni zake.
Sasa hivi Mwenyekiti wa CCM John Magufuli ameonyesha wazi anachukia rushwa ki kweli kweli, ni wajibu wenu kama wanachama kumsaidia katika kuchagua viongozi wazuri wenye elimu, wasio na dosari yeyote na wanaochukia rushwa ili apate wasaidizi wazuri katika kuijenga Chama cha Mapinduzi kipya.
Tayari kuna malalamiko kwenye chaguzi za wilaya na kata kuna baadhi ya viongozi wamejaribu kutumia rushwa kwenye chaguzi zilizofanyika. Naomba uongozi mkuu wa CCM makao makuu kuwaijibisha wasimamizi wote wakiwemo makatibu wa wilaya ama mkoa kama itabaiinika wameruhusu rushwa kutumika kwenye chaguzi zinazokuja ngazi za mikoa.
Tanzania Bila Rushwa Inawezekana.
Lowasa na sumayeKama kuna Kiongozi ndani ya CCM mwenye uwezo wa kukemea RUSHWA naomba jina lake.