Wanachama chadema

Maswi

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
932
211
Naomba kufahamu ofisi za CHADEMA kata ya UBUNGO nataka kulipia kadi yangu ya uanachama kwa mwaka huu 2011. MAKADA, WANACHAMA na MASHABIKI naombeni msaada wenu nakipenda hiki chama tawala 2015. Tujenge chama chetu na tukiandae vyema kushinda chaguzi za 2012 na 2015.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom