Wanachama 3 wa chadema wafungwa mika 3 jela.

Indaji tee bhantu mwii, Ungulubhi abhavwe bhana bhitu, tubhaputila tee, tuli palushimo, munganasaje!

Na bado utamaliza lugha zote yaani mnavunja sheria za nchi muachiwe tu haiwezekani lazima tuheshimu utawala wa sheria.
 

Wanazidi kuinajisi mahakama tu. Kama hii ndiyo new strategy basi waongeze idadi ya magereza kwa asilimia 20,000%
 
Hii nchi haina tofauti na syria. Watu wanapenda sana kuganda kwenye madaraka.
 
Wanachama 3 wa cdm wamefungwa miaka 3 jela ktk mah ya mwanzo ya kijiji cha iyula wilayani mbozi.baada ya kuzuliwa kesi na mwenyekiti wa kijiji cha ichesa wilayani mbozi kuwa walitaka kumuua

Miaka mitatu tu? Huyu hakimu vp watu wametishia kuuwa, hawa angetandika miaka 17 na adhabu ngumu kwa kila mmoja ili kutoa fundisho kwa wauaji wote wa chama chao.
 
Wao pesa Sisi MUNGU na ngoja tuone mwisho wao!

Jamani Mi naona huu mwaka ni mbali 2015.
 
Tulianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU.
 
Mitatu tu? Kuna watu wamefungwa miaka 20 na kitu na bado wametoka na kuwa watu wa maana sana. Knowledge will always prevail!!!!
 
Ndiyo mnasema mahakama ni mhimili huru? Nafuu watanzania wengi wafahamu manyanyaso yanayofanywa na ccm kupitia vyombo vya dola vilivyo chini yake.


Kama haitakuja kuwarudia na kuwa chombo huru ya kuwahukumu wao tukae na tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…