Wanachama 12 wa CHADEMA Mbeya Mjini kutimuliwa leo

Wanachama 12 wa CHADEMA Mbeya Mjini kutimuliwa leo

Busara inayotumika kutimua wanachama kila kunako kucha chadema inatoka wapi Hanna kamati ya ya nidhamu
Kamati ya nidhamu iko ccm tu, ndiyo maana ccm wizi na ufisadi wa mali ya umma ni sifa mhimu kwa maccm.
 
Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa

Toa wahuni huwezi kuishi na nyoka ndani mwako hata siku moja
 
Umemuuliza walikaa na wakajadili nini? Walikubaliana nini? Na impact yake kwa chama ipoje? Ungejiuliza au kuuliza kwanza hayo maswali ndo uje kuandika hapa.
Acheni ubaguzi wa ajabu,
hamuwezi kutawala Inji hii kwa mtindo wa kumchukia kila mtu
Maana hata hao waasisi wa hivyo Vyama wanaijua demokrasia,
sio hii mnayoiweka ya kumchukia hata Mumeo, kwa vile tu ni shabiki wa Simba basi afukuzwe kwanini kakaa na Lowassa, au kasalimiana
Kumbukeni ya CUF hata maji hupewi leo wako wapi?
 
Busara inayotumika kutimua wanachama kila kunako kucha chadema inatoka wapi Hanna kamati ya ya nidhamu

kamati ya nidhamu iwaelimishe kukaa vizuri na huyo bwana michuzi au? Swali lako halieleweki vizuri mkuu. Hiyo kamati kazi yake ni kulea upuuzi??? Wafukuzwe bila hata kikao kama kweli walikaa na huyo Fred Lowasa. Wakija kujieleza waombe uanachama upyaaaa
 
Acheni ubaguzi wa ajabu,
hamuwezi kutawala Inji hii kwa mtindo wa kumchukia kila mtu
Maana hata hao waasisi wa hivyo Vyama wanaijua demokrasia,
sio hii mnayoiweka ya kumchukia hata Mumeo, kwa vile tu ni shabiki wa Simba basi afukuzwe kwanini kakaa na Lowassa, au kasalimiana
Kumbukeni ya CUF hata maji hupewi leo wako wapi?

Kwani walikaa kikao cha harusi hao?
 
Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa

Kama J. Kasambala yupo ktk hili kundi sina Mashaka hata kidogo na Mamuzi yatakayochukuliwa juu yake.

Huyu kijana sio tu kwamba hafai kuwa kiongozi wa nafasi hiyo aliyotunukiwa kwa siasa taka kati yake na Mzee wa Upako hafai hata kuwa CDM.
Bahati mbaya sana wengi wameigeuza JF kuwa MAHAKAMA YA CDM,hasa vijana wa aina hii ya Kijallo.
Madudu wanayofanya dhidi ya Chama chao hufanya siri,Hawapendi kuona wala kusikia wale wanaowataka kuwatetea waifahamu dhamira yao NYEUSI NYEUPE. Hata Mahakama yao ya RUFAA (JF) hawaiambii ukweli ili ifanye Utetezi yakinifu juu yao.

Kati ya vitu vinavyonikera ni kuona,kusikia,kutazama,kuambiwa,kusimuliwa na kushuhudia kijana anayejipambanua kuwa ni Msomi,Mweledi wa Mambo akifanya,akifanyishwa,ama kwa hiari au Tamaa ya UKWASI! Mambo ambayo yatatoa tafsiri chafu sana juu yake.

Watajwa wote hapo juu kwa namna ya pekee sana nimekutana nao,nimefanya mazungumzo nao kwa nyakati na vipindi tofauti.
Nimeyasikia matamko yao ktk shughuli za ujenzi wa Chama sehemu mbali mbali.

Kama kweli kuna mkakati wa kuwaondoa Ktk Chama, hiyo itakuwa ni sehemu ya Ujasiri wa CDM kufanya Maamuzi pasipo WOGA.
Mimi nitakuwa mmoja wa Kushangilia ushindi wa CDM dhidi ya Wahujumu Chama.

My Take.
Kijallo Martin mmefikia wapi ktk ujenzi wa Chama kata ya Ghana,Nonde,Majengo,Nsoho ?

Vipi mmeweza jistawisha ktk maeneo hayo ? Au bado ni yale yale ya NKWENZULU BAR (Ghana)

Vipi kambi ya Peter Ndevu ipo au wahafidhina wamefanya yao?

Vipi mmesahihisha makosa ya uchaguzi vijana kata ya Ghana,kwa chuki zenu mkaona bora pandikizi toka Ccm alambe dume na sio yule mnaedhani siyo mwenzenu.

Wasalaam.
Ndimi mpenzi wa siasa za Mageuzi.
C.A.M
 
Busara inayotumika kutimua wanachama kila kunako kucha chadema inatoka wapi Hanna kamati ya ya nidhamu

Unamuonya aliye kosea hiyo ndiyo kazi ya Kamati ya Nidhamu ila Msaliti ni wa kutimua tu hakuna namna Msaliti wakati wavita vya ukombozi nikama kiporo kilicho chacha hata ukipasha moto hakiliki
 
Una uhakika tumewai kaa na huyo Fred Lowassa?

Mkuu Kijalo,nadhani wewe ni Kijalo Martini, mmoja wa watuhumiwa hao,ebu tuelezeni tatizo hasa ni lipi,isijekuwa mlikuwa tu na mpango wa kugombea uenyekiti mkoa au ubunge jiji..
 
Hakuna chama chochote kinachoweza timua watu kwa sababu eti ya kukaa na mtu...huu ni upotoshaji au kwa kukusudia au kwa kukosa uelewa, kama watafukuzwa basi yale yalijadiliwa yalinaswa kwa namna isiyopingika

Tujadili tatizo la kupanda kwa umeme tafadhali...nilitarajia watu wandamane na kufunga biashara kwa jambo la ajabu kama hilo
 
Safi sana CDM Ondoa Magamba yote kabla ya 2015. Watu watakushangaa lakini watakuja kukuamini. Mimi si Mchaga ni mtu wa shinyanga lakini naikubali CDM na sijawahi kujutia. Na kwa utafiti wangu mdogo wengi waliofukuzwa ni magamba ndani ya chadema. Subirini mtaona. mmoja mmoja atarudi kwa magamba. maana kama ni wapigania haki wakitoka CDM waunde chama chao au wajiunge na vyama kama NCCR, CUF,TLP etc kwa manufaa ya upinzani . Lakini ngojeni muone watapokelewa wapi na kina nani ndo mta amini maneno yangu! CDM wafukuzeni tu!
 
Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa

halafu huyu mtoto wa Lowasa mshenzi NAONA ANAUTAFUTA URIZ 1 KWA NGUVU ZOTE
 
Busara inayotumika kutimua wanachama kila kunako kucha chadema inatoka wapi Hanna kamati ya ya nidhamu
Ukimfumani mkeo juu ya kitanda chenu na mume mwingine tena akiwa analilia utamu na kusema lol yes yr so cool just do it yaani hata mume wangu hajawahi nifikisha hapa whaoo yr so sex baby am so so satsfy, utamweka kwenye kamati ya nidhamu au utamfanya nini?
 
Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa

Taarifa hii imekuwa inaletwa hapa JF Kila mara kwa muda mrefu sasa. Au hawa ni wengine huko Mbeya?
 
Kwani walikaa kikao cha harusi hao?
Na hichi ni nini? mpaka Mkiti wenu analalamika baguzi huu
From: Said Amour Arfi
<said_arfi@yahoo.com>
Date: November 22, 2013 3:45:47 PM
GMT+03:00
To: "mbowe2008@gmail.com"
<mbowe2008@gmail.com>
Cc: "slaa@chadema.or.tz.
zittokabwe@gmail.com"
<slaa@chadema.or.tz.
zittokabwe@gmail.com>
Subject: KUJIUZULU MAKAMU
MWENYEKITI (BARA)
Salaam,
Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya
kujiuzulu nafasi ya Makamu
Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa
22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na
Unafiki unaoendelea ndani ya Chama.
Napenda ifahamike pia kwangu
maslahi ya Wapiga kura, Wakaazi na
wananchi wa Mpanda Mjini na Wilaya
ya Mpanda ni muhimu katika
kuwatumikia, hivyo basi sipo tayari
kuchaguliwa marafiki.
Kwa kipindi kirefu zimekuwepo
shutma dhidi yangu na kutiliwa
mashaka mahusiano yangu na Mhe
Pinda Waziri Mkuu pamoja na
kulijadili katika vikao kadha Mpanda
na Dar es Salaam bado yapo mashaka
kwa nini alipita bila kupingwa hayo
yalikua maamuzi ya Wanampanda
kwenu imekua ni tatizo lakin
hamsemi kwa nini Majimbo mengine
16 nchini yalipita bila kupingwa
mlikua wapi na nani alaaumiwe huu
ni Unafiki wa kupindukia.
Aidha mmechukizwa sana kwa nini
nilihoji kauli ya Muasisi wa Chama
Mhe Mtei kutuchagulia viongozi
naomba ifahamike wazi kwamba huu
ni mtazamo wangu na utabakia hivyo
siku zote kwa chama cha demokrasia
kutoruhusu uongozi wa kiimla kwa
kukidhi matakwa ya Waasisi ambao
huvigeuza vyama kuwa Mali binafsi
Kwa kusema ukweli na kusimamia
ukweli daima itabakia kuwa lengo
langu katika maisha yangu siku zote
hata kama itanigharimu maisha
yangu
Nawasilisha.
Said A Arfi (mb)
Nakala Vyombo vya Habari
 
Back
Top Bottom