Wanachama 12 wa CHADEMA Mbeya Mjini kutimuliwa leo

Wanachama 12 wa CHADEMA Mbeya Mjini kutimuliwa leo

Kijallo

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
409
Reaction score
61
Vijana wapatao 12 na wafuasi wa Cdm wanatarajiwa kuvuliwa uachama leo kuanzia saa nne asubuhi ktk kikao cha kamati tendaji Wilaya.Vijana hso ni
Joseph Kasambala-Mratibu BVC Mkoa
Edga Chae-Mw/kiti BVC Mbeya mjini
Gidion Mwanjoka-Mhazini Bvc Mbeya mjini
Lidia Mwaipaja- Bawacha mkoa
Geofrey Nkwile-Mjumbe Bvc
Felix Mkusa
Geofrey Sanga
Jen Jojo
Xb
Silipa Tenga
Kijallo Martin
Na aliyekuwa kampeni meneja wa Mh Sugu Mwalwiba
Wanatuhumiwa kukihujumu chama.kwa kukaa kikao na Fred Lowwassa
 
Kama ni kweli sawa tu.Halafu wamefanya kikao na Fred Lowassa,wangekuwa wametokea kanda flani hao ingekuwa shida humu.
 
Kukaa na fred lowasa basi watimuliwe haraka sana.
 
Busara inayotumika kutimua wanachama kila kunako kucha chadema inatoka wapi Hanna kamati ya ya nidhamu
 
Du kaz wa mwambigija kutetea uenyejt wake maana ameshkwa pabaya
 
fukuza wote ikiwezekana hadi mbowe afukuzwe kwa sababu alikaa na kikwete ikulu
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Wafukuzeni make tumechoka sasa wanataka kugusa maslahinya wazee ndiyo maana wanafukuzwa chadema chama cha mtu huamua apendavyo walianza na shetani watamaliza na shetani.
 
Chama cha kufukuzana na kupigana kazi bado mbichi watafukuzana sana bado mno.
 
Kama ni kweli sawa tu.Halafu wamefanya kikao na Fred Lowassa,wangekuwa wametokea kanda flani hao ingekuwa shida humu.

Yaani ukiwa Mtanzania huruhusiwi kujumukuika na mtu wa itikadi tofauti?
Mbona huko Vunjo Mrema anakaa na CHADEMA na CCM kwenye shughuli mbalimbl;i?
Mbona Mtei Mkwe wake ni Diwani wa Viti maalum wa TLP?
Ni kweli wangetikea kanda ya Kaskazini wangeelimika na kushirikiana
Siasa sio chuki
Siasa sio Udini
 
bora wameshtuka mapema........wamejiondoa katika saccoss,watafute chama cha siasa na sio saccoss ambayo walikuwemo!! 2015 CDM chaliiiiiiiiii......................................!!!na ndo mwisho wake
 
Yaani ukiwa Mtanzania huruhusiwi kujumukuika na mtu wa itikadi tofauti?
Mbona huko Vunjo Mrema anakaa na CHADEMA na CCM kwenye shughuli mbalimbl;i?
Mbona Mtei Mkwe wake ni Diwani wa Viti maalum wa TLP?
Ni kweli wangetikea kanda ya Kaskazini wangeelimika na kushirikiana
Siasa sio chuki
Siasa sio Udini

Umemuuliza walikaa na wakajadili nini? Walikubaliana nini? Na impact yake kwa chama ipoje? Ungejiuliza au kuuliza kwanza hayo maswali ndo uje kuandika hapa.
 
Watimuliwe tu maana wasituletee mambo ya kiCCM CCM hapa na uzuri tunajua huyo Fred anatumiwa na mzee wake kwa ajili ya mbio za Urais
 
Back
Top Bottom