Wanachadema huru maswa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachadema huru maswa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by WISE GUY, Jun 3, 2011.

 1. W

  WISE GUY Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatimaye ile siku tuliyokuwa tunaisubiri hatimaye imetimia baada ya kuwa tumetengana kwa mda wa miezi tisa toka ndugu zetu washikiliwe baada ya kudaiwa kumuua dereva wa mgombea ubunge wa ccm hatimae leo tuko nao pamoja baada ya hakimu kufuta kesi iliyokuwa inawakabili.OMBI LANGU KWA VIONGOZ WA CHADEMA NI KUWAKUMBUKA MASHUJAA HAWA WALIOJITOLEA KUKIPIGANIA CHAMA CHETU ILI HATA WATU WENGINE WASIVUNJIKE MOYO KUKIPIGANIA CHAMA PIA NAPENDA KUKIPONGEZA CHAMA CHA CDM KWA KUWASAIDIA NDUNGU ZETU TOKA MWANZO WA KESI HADI MWISHO VIVA CDM
   
 2. nkasoukumu

  nkasoukumu JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  Hongera
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sauti ya watu ni sauti ya MUNGU
  kazi kwake Simon aliye sababisha maafa hayo kwa ufisadi wa sisiem hatalipa gharama hiyo hapa lakini atailipa siku moja huko akhera
   
 4. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Excellent CDM unity. Tuendelee hivyo hivyo, upendeleo kwa CCM bado upo tena wazi.
   
Loading...