WanaCCM wenzangu, Katiba tunailinda chini ya utawala huu?

Naomba sana marais wa staafu na viongoz wakuu wa Taifa hili waliangalie hili je utawala huu katiba inalindwa ama tunaichepusha maana hiki ndio kiapo kikuu kwa viongo wote wakuu kitaifa.

Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba
Mnapofanya mambo mfikirie na kesho na hata wengine wenye mawazo mbadala, kuwa nao ni wananchi na wanastahili kuheshiniwa. Kimekukumba nini mpaka uje kwa watu uliowabeza na kudhihaki ?!. Mtenda akitendwa huhisi kuonewa.

Huwa hawana rafiki wa kudumu. Wakihisi tu maslahi yao kuguswa, hawachelewi kubadilika. POLE
 
Sitaki kumpa sifa ya utume TL lakini hakikqhakika kila anachokikemea kwa taifa hili kinatokea, fikiria ya Accasia na mikataba,fikiria la Nape?leo ww mtoa post unaleta post kuhusu kuilinda katiba amabayo mlimuacha na kumpigia mapambio mkisema ni mteule aliyeletwa na mungu!!!, To alisema akimalizana na upinzani atahamia kwenu ndio tafsri leo unalilia hapa. nafikr sasa tunaanza kuongea lugha moja.
 
Naomba sana marais wa staafu na viongoz wakuu wa Taifa hili waliangalie hili je utawala huu katiba inalindwa ama tunaichepusha maana hiki ndio kiapo kikuu kwa viongo wote wakuu kitaifa.

Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba
Dhaifu mwingine huyu
 
Muhimu nenda KATUBU....
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Ukimaliza hilo,
Karibu Jamvini....
 
Mkuu nakushauri badili id .sababu dhambi ulizofanya kipindi hicho zitakuandama tu
 
Nadhani jamaaa roho yake sasa imesuuzika baada ya haja ya moyo wake kutekelezwa, kwamba Ben saanane wame mpoteza.
Tutafakari kwanza la Ben Saanane, Nchi haina katiba, Ni mawazo ya Hayati Baba Wa Taifa yaliyowekwa katika kitabu kimoja.

Mchakato wa kupata katiba ya nchi ni ule uliofanywa na Tume ya Jaji Warioba ukaishia kusikojulikana.
 
Wanafiki hawaishi duniani.leo hiii hata watetezi wa kupotezwa kwa Ben saanane nao wanaililia Katiba kuheshimiwa? .
 
Naomba sana marais wa staafu na viongoz wakuu wa Taifa hili waliangalie hili je utawala huu katiba inalindwa ama tunaichepusha maana hiki ndio kiapo kikuu kwa viongo wote wakuu kitaifa.

Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba
Nafsi yako inakuhukumu!
 
Siku utakayo kata roho nakuhakikishia utayakumbuka maovu yote uliyo wafanyia binaadam wenzio,wala bado
 
Naomba sana marais wa staafu na viongoz wakuu wa Taifa hili waliangalie hili je utawala huu katiba inalindwa ama tunaichepusha maana hiki ndio kiapo kikuu kwa viongo wote wakuu kitaifa.

Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba
Una update yoyote ya Azory Gwanda??
 
Back
Top Bottom