Naomba sana marais wa staafu na viongoz wakuu wa Taifa hili waliangalie hili je utawala huu katiba inalindwa ama tunaichepusha maana hiki ndio kiapo kikuu kwa viongo wote wakuu kitaifa.
Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba
Naogopa sana nakutetemeka, watanzania tutafakari haya pasipo jaziba