Taarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.
Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?
Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
Na ni kweli nepi, hata mabinti huwa wanasifiwa kwa uzuri/urembo wao ili vichwa viwavimbe alafu wanaachia vitu kilainiiiiii. Ni faida kwa vijana kweli!!!!"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
Huna jipya mkuu
Sidhani kama huyu bwamdogo ataweza hayo aliyakuta na atayaachaa hapa ilipo CCM sasa hivi haina la kufanya kwa sababu hayo iliyaanza yenyewe. Kwa hiyo wanamwonea tuTaarifa kutoka kwa mjumbe mmoja wa CCM zinaeleza wanaCCM wengi hawafurahishwi na mwendo wa kijana huyo. Wanadai ameshindwa kukisaidia chama kuondokana na makundi yanayokitafuna kila siku zaidi ya siasa zake za makundi inaelekea bila ccm kuwasikiliza wazee nape anasaidia sana chadema kuwa maarufu.
Mzee mmoja kanda ya ziwa amesema wazi kuwa kitendo cha nape kuzungumzia chadema kila kukicha kinawaudhi wanaccm, alipozungumzia ukaskazini alisema kijana hajakomaa huwezi kuitenga jamii eti kwa kuwa wanasapoti upinzani, mwingine akasema mbona zanzibar hatukuitenga sababu ya CUF?
Mama wa chama wa siku nyingi alisema inabidi nape aombe radhi au ajisafishe sababu anazidi kukibomoa chama mchana kweupe.
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]
"Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]
Duu kumbe hata wakina Makamba ni adui zako??? big up man endelea na msimamo huohuo. Mimi nakumbuka nilianza kukudharau rasmi siku uliposema huwezi kuhamia CHADEMA kwasababu wewe siyo mchaga."Ukiona adui yako anakusifia ujue unalofanya ni kwa faida yake,lakini ukiona anapiga kelele kuwa umekosea unalofanya ni sahihi kabisa, endelea tena kwa nguvu zaidi" J K Nyerere. 1983 Kampala Uganda
[/U][/I][/U]