WanaCCM Vunjo wasusa kuendelea na kampeni

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,078
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.
 
Ni kweli hili jambo linakatisha tama sana. yaani watu wanatumia peasa na resources nyingi pamoja na muda kutaka kulikomboa jimbo wewe mgombea urais unakuja kuharibu kila kitu! Juzi walifungua kampeni pale Himo na kina Mbunge wa simanjiro alikuwepo na vigogo wengine. leo magufuli kaja kuharibu. kweli inakatisha tama!
 
Kuna mtu alisema akili za Mrema na Magufuli zote zimechoka.
Na kama TLP wameweka mgombea Urais, halafu mwenyekiti wake badala ya kumwombea kura mgombea wake anamwombea kura mgombea wa chama kingine. Basi wote hao ni wa kupimwa akili.
 
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.
Magufuli anatia huruma sana.
 
Baadhi ya makada wa CCM katika jimbo la vunjo wameanza kususa kuendelea na kampeni za kuinadi CCM kuanzia nafasi ya Udiwani, ubunge na Urais kufuatia kitendo cha mgombea urais wa CCM, John Magufuli kufika jimbo la Vunjo na kuanza kumpigia kampeni Mrema wa TLP awe mbunge badala ya kumnadi mgombea wa ubunge wa CCM innocent Shirima. Kitendo hicho wamekitafsiri kama ni dharau na kuwadhalilisha wanaCCM wa Vunjo kwa kuwa kwa sasa wanaonekana kama watu wasiojitambua kwa kuwa wanachokipigania hakipo tena.

Baadhi ya wakazi wa vunjo wameanza kuwatania makada wa CCM kwa kuwaita "Misukule" baada ya magazeti yenye Picha na habari ya tukio kuzagaa kila mahali katika mkoa wa Kilimanjaro japokuwa tukio lenyewe limetokea Vunjo.

Huyo innocent shirima si ndio alisema mbatia na mbowe wanamuhonga mil 250? Hajielewi huyo ndio maana makomeo amemtosa amegundua ni muongo na mnafiki!
 
Tukiwambia mpeperusha bendera ya CCM; John Joseph Pombe Magufuli sio meneja bali ni nyapara tu; mnakasirika na kupiga kelele kama mabata yaliyoko kwenye "heat"!!

Jamani ili Magufuli afanye jambo lifanikiwe bila kusababisha hasara na usumbufu kwa taifa na jamii kwa ujumla; shurti awe "supervised"; ni lazima awepo mtu mwingine wa kumuongoza! vinginevyo ni lazima atachafua hali ya hewa kama sote tulivyoshuhuidia kwenye mizunguko yake ya kampeni; No wonder kuna baadhi ya wajumbe wa timu yake ya Kampeni za "Matusi" wamejikata kiaina; kimya kimya!!

Mshahara wa dhambi ya kuteuliwa "kimagumashi" ndio huo; Magufuli hatoshi; bado saana!! poleni sana watani wetu magambaz! Peeeepoz!!
 
Huyo innocent shirima si ndio alisema mbatia na mbowe wanamuhonga mil 250? Hajielewi huyo ndio maana makomeo amemtosa amegundua ni muongo na mnafiki!

Nilimsikiliza huyo Shirima na kugundua kuwa yeye,Mrema na Magufuli wote ni shidaaa.
 
Ndio hivyohivyo mkuu wote ni wanafiki watupu ndio maana wanajichanganyachanganya kama maharage.
 
Magufuli hajawahi kuwa kiongozi katika maisha yake. Hana uongozi wa kuzaliwa na hana uongozi wa kusomea. Ni mtu mtu wa kiaina yake tu. Pamoja na udictator wake, uropokaji wake na um burura wake, halafu eti Kikwete anatulazimisha kwa gharama ya damu zetu awe kiongozi wa nchi.

Labda aende akawe kiongozi wa familia ya jk ambayo mwenye nayo kashindwa kuiongoza. Kwa Tanzania CCM NA MAGUFULI TUMESEMA HAPANAA!!!!!!!!!!!!!!!!
 
muone viongozi wa kiafrika na bongo wasivyo na timamu,,,,like a bitch in heat,,
 
Hiyo ni ishara mbaya sana kwa CCM kusalimu amri kwa chama cha upinzani...
 
Back
Top Bottom