WanaCCM mmemsikia Dr. Masaburi?


cc FaizaFoxy , jingalao
 
Last edited by a moderator:
duniani kote hamna siasa za kulembalemba mtu murua hawezi kukimbilia siasa
 
Huyo nae kakatwa wapi au ameshindwa kujipendekeza hii wiki koja iliyopita?
 
nimemsikia leo masaburi akisema kuwa kaamua kujitoa kwenye uspika ili kuwapisha wenye sifa stahiki, nkajiuliza swali hivi alivochukua form ya uspika hakujiona hana sifa??? hakujitathimini?????
Hakujitoa, bali katolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…