WanaCCM mmemsikia Dr. Masaburi?

Siasa za nchi hii ni za kuchafuana si CCM wala upinzani sema uchaguzi huu jamaa walikuwa na kimeo so wakalazimika ku-mute tu na kujidai wana siasa safi.
 
Hana akili yaani hata wimbo wa chama chake haujui! Ccm ni ileile....eeh...ni ileile....mmeichagua wenyewe....mtaisoma namba.

Sasa anaisoma namba ya uspika.Tatizo wamezoeshwa kuwa ukitumika kukandamiza upinzani ndiyo tkt ya vyeooo.
 
Ha ha ha na bado. sasa aendelee na lile zoezi lake la kudai hela alizohonga ubungo. Walamlia weee mpaka matekja walikula. Na waandishi uchwara humo humo hump. Hatimaye wakamlaza chali. Rudi chuoni kwako Chanika ukawe unachukua roll call za waalimu.
 
Hahaha kaisoma number kama sitta na masanja..kakandamizwa mwanawane
 
Kuna kale kawimbo huwa kana mistari hii
"boko wala wenzio boko nawe utaliwa"
 
Siasa za nchi hii ni za kuchafuana si CCM wala upinzani sema uchaguzi huu jamaa walikuwa na kimeo so wakalazimika ku-mute tu na kujidai wana siasa safi.

Huyo unayemwita kimeo aliwahi kuwa waziri na waziri mkuu, wewe na dharau zako hata mjumbe wa nyumba kumi hujawahi kuchaguliwa.
 

Haswaaaa yaaani kaoshwa yeye ha ha ha ha ha
 
Huyo unayemwita kimeo aliwahi kuwa waziri na waziri mkuu, wewe na dharau zako hata mjumbe wa nyumba kumi hujawahi kuchaguliwa.
Mimi kutokuwahi kuwa mjumbe siyo sababu ya kutokuwepo mawaziri vimeo.Halafu wenye dharau ni hao walio zunguka nchi nzima kwa miaka saba wakiutangazia umma ukimeo wa jamaa.Au walikuwa hawajui kama alikuwa waziri? Acha unafiki.Hamwezi kukimbia kivuli chenu...you've to pay the price..
 
Mimi nimeburudika sana kwa masaburi na sitta kupigwa chini ila kwa nchimbi sina hakika kama nimefurahi au nimesikitika
 

Yeye kadai wanaomchafua wapo mitandaoni sasa huku mitandaoni utajuaje kama huyu anayekuchafua ni mwana CCM au Ukawa,halafu naona ameanza kujipendekeza kwa Dawassa eti wanamsema ametumwa na kundi la Dawassa kwenye ubunge watu hawakulalalamika kuwa mtu wa Dawassa ila kwenye uspika ndio waseme katumwa na Dawassa,huko ni kutapatapa na hakujitoa bali katupwa kapuni,alipoteuliwa kuwania ubunge pamoja na rafu kibao na kumwaga pesa hatukumsikia akilalamika,leo hii baado ya kuona ndoto za kuwa Mh supuka ndio analalama,hana hadhi ya kuwa supuka kabla ya yote.Maisha yapo hata nje ya siasa,sasa ni wakati akakiboreshe chuo chake magumashi .
 
Nitaichukia CCM hadi dakika yangu ya mwisho...... Tutakukumbuka Daima kamanda Mawazo & Mohamedi Mtoi. Nyie hamkufa
Lofa mwingine akiwa kwenye ubora wake,hivyo vifo na CCM ni wapi na wapi,au ndio kufikiri kwa kutumia masaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…