Wanaaziaga huku

Wakifika JF tunasema bado wadogo
 
Halafu akirudi nyumban baba unamwona mtoto wako bado mdogo hajui kitu. Kumbe anakata kiuno na kuruka ukuta
 
Halafu akirudi nyumban baba unamwona mtoto wako bado mdogo hajui kitu. Kumbe anakata kiuno na kuruka ukuta

Ndio maana huwa napinga mno dhana ya kusema JF kuna watoto
 
vikiwa nyumbani ngumu kweli kuvigundua vinakuwa vipole kaa jongoo,kumbe hatari tupu
 
Wakifika JF tunasema bado wadogo

...eti kunywa pombe,kwenda kwenye kumbi za starehe usiku,kutembea na li komba zee zima haikuwa kosa kwa mtoto lulu,ila alipoua ndo umri ukazingatiwa....
 
Wazazi ndio tatizo la watoto kuharibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…