Yeye aje hizo sio shida zangu.Udugu hana hiyana atakupa mahii.
JF ni kama kile kitobo cha asali... Tofauti tu ni kwamba JF haina sura mbaya🤣Hata MALCOM LUMUMBA aliwahi kutuaga na kututajua multiple id zake zote. Ila bado yupo.
AstghafirullahJF ni kama kile kitobo cha asali... Tofauti tu ni kwamba JF haina sura mbaya🤣
[emoji625]Udugu tuendelee na mambo mengine huyo shangazi wa mwadui niachane naye nishavuka kugombana na vidampa. Sasa hivi naongea na mfuga mbwa sio mbwa.
Nimemzika rasmi media uchwara [emoji3545]
Nakipiga UEFA
KabisaaaYeye aje hizo sio shida zangu.
Dad bhana mi sitaki😂😂🥱Daughter eeee usije hukuuu🤣🤣
😂sawa mupethiiinishafika ila mi sijawahi kuaga bwana😄😄😄 bado nipo nipo
Uongooo!! [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi napenda ulozi.. Vayolensi sio zangu kabisa