Wanaaga halafu hawaondoki

Mitandao ina addiction. At some point mtu hua anaweza kujihisi yeye yupo kwenye spotlight ya mtandao husika, anaenjoy mentions, likes, quote n.k.

At some point tulipata member aliyekua na ids nyingi akaanzisha uzi kwa id moja kisha akawa anajichatisha yeye mwenyewe. Na kuna muda ids zikawa zinagombana. JF ilivyokua inamerge Ids na zile zenye kugombana zikaonekana ni za mtu mmoja.

Sasa app inaweza fanya ujihisi wewe ni muhimu kiasi kwamba unahisi bila wewe mambo hayaendi. Mshkaji mmoja alikua anaandika sana vitu vya kiroho akaanzisha uzi wa kuaga. Watu went like "Close the door behind you"

Mwana akarudi. Kwa upande wangu naona hii ni mental issue.
 
Mshkaji mmoja alikua anaandika sana vitu vya kiroho akaanzisha uzi wa kuaga. Watu went like "Close the door behind you"
Nani huyoooπŸ₯ΊπŸ˜©
 
Tutafute pesa tuone vitu km passport na kupanda flight ni jambo la kawaida. Karne hii kupata bipolar disorder kisa ndege nao ni ujuha aiseee..!! Kuanza kuhisi watu wana maisha kama yako kisa wewe unashindwa kuafford top hata ya 15k mpya nayo ni huzuni.

Nwei, pole sana kwa kukupa msongo wa mawazo nimekuonea huruma. Nakupa offer Njoo kkoo uchukue top za 500k (Hii sio utani)

Nimeona malalamiko yako umepeleka kwa mods unalalamika nakusema una nguo kuukuu. πŸ˜₯😭😭

Hata lepe la usingizi umekosa umelala na kuamkia JF 😭😭
 
acheni ugomvi ukute hata hamjuani personally, hizo nguo za 500k mtu anaenda kuzivaa au kuuza ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Usipeleke watu Mjinii uduguuu, zima kikii zotee, washa kupuuza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…