S I R I nzito kuto onekana hadharani Job Yustino Ndugai.
Inawezekana kabisa hata ile barua yakujiuzuru hakuandika Ndugai ila ni foggery.
Kama ccm waliweza kufoji barua kutoka kwa katibu mkuu wa CDM na saini juu, wanashindwaje kucheza na kiyango chao NDUGAI?
Kuniuzuru kwa ndugai ni by FORCE, yaani hakuandika barua ila imeandikwa na watu wanaowajua wenyewe.
Ndugai hata mara ya mwisho wakati anapiga picha na SSH hakuwa mwenye furaha alikuwa mwenye hofu tele angalia ile picha vzr.
Ndugai hawezi toka hadharani na kusema kweli, anajua kbs atakufa siku sio zake na hivi ana magonjwa makubwa soon yata fumuka yote mtasikia tu.
Ndugai anaona bora akae kimya asije akapotezwa na watu wa
system. Ila iwe funzo ajue kbs alivyokuwa anatesa watu na yeye yamemkuta na malipo ni hapa hapa duniani.
Tundu Lissu aliwahi kusema
"wakimalizana na SISI CHADEMA watakuja kwenu CCM na mwisho kwa raia wasio na vyama".
Na kweli tumeona yametokea, vijana wa lumumba mna nini cha kusema juu ya umafya huu wa watu wa system kufoji barua ya kujiuzuru kwa ndugai?