amos eglan
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 310
- 464
KUNA TATIZO MOJA NALIONA.
NIKITAFAKARI KWA UNDANI KAULI YA CCM KUWA WAFUASI WA LOWASS KWENYE MIKUTANO SIO WAPIGA KULA.
Majibu niyapatayo katika tafakari yangu ni;
1. Uwezekano huo waweza kuwa kweli endapo wafuasi hawa ambao wengi ni vijana wakaongeza ushabiki mpaka kwenye kisanduku cha kura na kusababisha kuharibu kura wakijua wamepiga kura.
2. ccm imelijua hili na wameamua kuminya/kupunguza jitihada za elimu kwa mpiga kula wakijua ni mtaji kwao.
3. Waliongea hivyo kama njia ya kuwatoa hofu wafuasi wa ccm kuwa upinzani upo juu.
kipengele cha kwanza kitatokea endapo mpiga kula akamwekea tiki lowasa na upande wa picha ya mgombea wa ccm akamtoboa macho au kumuwekea mkasi mkubwa KIUSHABIKI tu.
Dawa ya tatizo hili UKAWA KWENYE MIKUTANO YENU YA KAMPENI Waelimisheni wafuasi wenu watie tiki kwa lowasa na wasiandike sehemu yoyote tena mwenye karatasi.
Wapiga kura upande wa ccm wengi ni watu wazima wenye akili timamu na wana uzewefu na wanajua nini maana ya kupiga kuwa, vijana wengi wanao shabikia ukawa sio wazowefu na wengine wengi hawaku jiandikisha kupiga kura na wengi wali jiandikisha lakini sio wavumilifu kusubiri ila nawaambia iwapo mnge kubali sera na ilani ya ACT basi mnge Ongozwa na Viongozi waadilifu na sio Mafisada yanayo pigania kuiba zaidi, na sababu ujinga ni moja ya Matatizo suku nchini basi hakuna budi ujinga bado una amuwa nani awe Raisi wa nchi hii, lakini naku akikishia kwamba siku moja ACT itawaletea Mabadiliko yakweli ambayo kila Mtanzania atakuwa na Faida nayo, sababu nawa akikishia kwamba hakuna Mabadiriko yanayoweza kuletwa na mwizi au fisadi Never, towa ujinga wewe!
Uadilifu nndio Amri kubwa ya Mabadiriko chagua ACT wazalendo
Nina andika ili wewe unielewe kwasababu Ma-great thinker wamenielewa kwa kuangalia Highkight hapo Juu.
1. ACT wazalendo hawana Element ya Upinzani kwasababu wanasupport CCM.
2. ACT wazalendo ni wapinzani wa CHADEMA wanatumia Loawasa kama Silaha yao ya kuingamiza CADEMA.
Sasa tulia Dawa nitakayokuingiza iluingie.
Lengo letu la kumchukua Lowasa ni Kuondoa kwanza cCM madarakani, Serikali itakayoundwa na Ukawa itafukua Madudu yote ya huku nyuma iwe madudu ya lowasa au ya.........
Kikubwa tumeiondoa hiyo CCM madarakani