Ksuley1411
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 356
- 53
Anzisha FORUM ya kwako siyo unadoea za wenzako alafu unajifanya bingwa!
huyo achana naye Evelyn Salt inawezekana kibarua chake kimemwendea kombo hesabu za weekend hazija balance sasa anatafuta wa kumfia tumwenyewe ushasema ni forum huru kaanzishe forum yako upange cha kuandika
Mbona Ww Unajaribu Kuwatoa Wanamabadiliko Ktk. Mjadala Wao!! Eti Mtu Mzima Huyu!!! Ndorooobai!! Mtu Mzima HOVYO!! Wasiwasi Ndio Akili Na Tahadhari Ni Muhimu Mno!!! Maana CCM Wana Watu Toka Idara ZOTE Nyeti Na PESA Za Kutosha!!
Kama haikuhusu sio lazma u comment we pita tu cc wenyewe tunatoshaKwani JF ni kwa UKAWA na CCM peke yao! Kwanini msianzishe FORUMS zenu mjibizane huko!
Kwani ni dhambi kuwa CCM? Wewe UKAWA ndiyo utaenda mbinguni?
Wana Ukawa tuiombe NEC iwaondoe CCM ili tubakie pekee yetu
Kama Wewe Ulivyo Mwana UKAWA.
Wana Ukawa tuiombe NEC iwaondoe CCM ili tubakie pekee yetu
KUNA TATIZO MOJA NALIONA.Ndugu zangu wana UKAWA.
Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.
Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana
1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.
Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.
Tunawezaje kulinda kura zetu?.........
Tujadiliane
Mnafiki mkubwa ww
Basi wewe utaenda mbinguni kwa kuipenda UKIWA!Dhambi sana
Mwenye kunikataza ni Mmiliki Maxcence Mello, siyo wewe abiria kama mimi!Kama haikuhusu sio lazma u comment we pita tu cc wenyewe tunatosha
Mmiliki ni wa JF ni Maxcence Mello, sasa wewe kiherehere kwa forum za wenzako ni nini?mwenyewe ushasema ni forum huru kaanzishe forum yako upange cha kuandika
Mmiliki ni wa JF ni Maxcence Mello, sasa wewe kiherehere kwa forum za wenzako ni nini?
Nenda mkabishaniane huko Tanzania Daima ndiyo gazeti lenu siyo hapa JF! #HapakazituWe unamiliki nini zaidi ya roho hebu nteme we gamba
Nenda mkabishaniane huko Tanzania Daima ndiyo gazeti lenu siyo hapa JF! #Hapakazitu
Upo kama mjusi hata sikuelewi point yako haswaa ni ipi, hebu jojoa uvae pajama yako ya kijani ulale
Hatuwezi ibiwa kura Lowasa alituambia kura zake haziibiwi!Ndugu zangu wana UKAWA.
Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.
Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana
1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.
Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.
Tunawezaje kulinda kura zetu?.........
Tujadiliane