Dada yangu ya jirani yaache.Kwani JF ni kwa UKAWA na CCM peke yao! Kwanini msianzishe FORUMS zenu mjibizane huko!
Kwani JF ni kwa UKAWA na CCM peke yao! Kwanini msianzishe FORUMS zenu mjibizane huko!
Kwanza mimi siyo dada yako! Unaweza kuwa mjukuu wangu. Wakati unaandika jaribu sana kutotaja jinsi za watu. JF ipo kwa watu wote na siyo wanachama wa vyama fulani. Maxcence mwenye JF anajua hili.Dada yangu ya jirani yaache.
swissme
Kwani JF ni kwa UKAWA na CCM peke yao! Kwanini msianzishe FORUMS zenu mjibizane huko!
Kwani ni dhambi kuwa CCM? Wewe UKAWA ndiyo utaenda mbinguni?inaonekana wewe ni CCM
Hili ni jukwaa huru kwa mtu yeyote. Mbona mwenye J.F Forum Maxcence Mello hajatupangia hivyo!Tupo mahala pake, sehemu husika ya kujadili uchaguzi, we ndio umepotea njia....
Hili ni jukwaa huru kwa mtu yeyote. Mbona mwenye J.F Forum Maxcence Mello hajatupangia hivyo!
Anzisha FORUM ya kwako siyo unadoea za wenzako alafu unajifanya bingwa!Maxence mwenyewe kapanga majukwaa ukikereka hapa nenda kwingine usituchoshe
Ndugu zangu wana UKAWA.
Upepo unaonyesha tunakwenda kupata ushindi wa Tsunami hapo October 25.
Sioni haja Tuendelee kubishana na hawa waajiriwa wa Lumumba humu ndani.
Tujadili ni jinsi gani tutalinda Kura zetu.
Kuna njia Mbili zinanipa wasi wasi sana
1. Mawakala kurubuniwa
2. Vituo feki vya kupigia kura.
Kwasababu kura zote zinahesabiwa kutuoni na sio Halmashauri(TAASISI ZA CHAMA TAWALA) Uwezekano wa kuongeza kuta za Tinduma ni mdogo sana.
Tunawezaje kulinda kura zetu?.........
Tujadiliane
nimesikia kama kuna mpango umeandaliwa wa kupata wasimamizi kutoka katika makanisa ya wokovu kama wasimamizi sina uhakika,Back to the topic:
Issue ya vituo bandia ni ngumu kudeal nayo kwa sababu kama itafanyika huwa ni kwa usiri sana. Wa kudeal nao ni mawakala wetu, na ningependa kushauri yafuatayo:
1) Wateuliwe mawakala waaminifu & wazalendo haswa, then wapewe semina/training ya uhakika katika namna zote za kulinda kura na kuepuka vishawishi.
2) Naunga mkono hoja ya mawakala kusainishwa hati maalumu ya utii kwa chama, wale viapo vya utii na uaminifu. Na iwe mbele ya wanasheria.
3) Wazungu wanasema "The gut never lies" nikimaanisha wawezeshwe kwa mahitaji yao kipindi chote cha uchaguzi ikiwemo maradhi, chakula na posho nzuri ili waweze ku-focus kwenye jukumu lao.
Inatosha kwa sasa.
nimesikia kama kuna mpango umeandaliwa wa kupata wasimamizi kutoka katika makanisa ya wokovu kama wasimamizi sina uhakika,
hofu yangu ni
awepo mtu wa kuratibu namba ya wapiga kura wote katika kituo husika ili mwisho wa siku tuseme kituo hiki cha jacaranda Iringa mjini kina jumla ya kura 1000 yaani za udiwani ubunge na urais na katika kura hizo mgawanyo uko hivi ukawa 600,ccm100,act 100,chauma 50 chusta 50 na ,,,,,59,,,,,,na 41
jumla yake ni 1000 hii itasaidia kura za bao la mkono lisifanikiwe