Mngekuwa na ugumu wa maisha msingepata nguvu za kuandamana, mngejikita kufanyakazi kukabiliana na hali hiyo. Mnasumbuliwa na shibeKabisa kwani huu msoto na ugumu wa maisha na mlundikano wa kodi ni kwa wana ukawa
Mnatumia hoja dhaifu sana, kwa mtindo huu Magufuli hamumuwezi. Kupambana na mafisadi, ujenzi Wa miundombinu, utengenezaji madawati, elimu bure, madawa, ukusanyaji Wa kodi ni zaidi ya sukari ambayo wenyewe mliwashawishi wafanyabiashara waifiche. Endeleeni kutumia hoja ya sukari kama ngao ya kujikinga na mashambulizi ya MagufuliNikweli kwani bei ya sukari imepandishwa kwa wana ukawa pekee ndiyo wanaisoma namba
Hahaaa, wananchi wanalalamikia ubabe Wa Magufuli? Kwa akili yako unadhani wananchi ni wabunge Wa UKAWA? TUKO zaidi ya mil.45 na tunajua kazi nzuri ya rais wetuUKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
ICC haiko mbaliMsipoacha Harakati na mkafanya siasa, awamu ya Tano itakuwa mateso kwenu
Naona unaongea huku hujui kama chai utakunywaMnatumia hoja dhaifu sana, kwa mtindo huu Magufuli hamumuwezi. Kupambana na mafisadi, ujenzi Wa miundombinu, utengenezaji madawati, elimu bure, madawa, ukusanyaji Wa kodi ni zaidi ya sukari ambayo wenyewe mliwashawishi wafanyabiashara waifiche. Endeleeni kutumia hoja ya sukari kama ngao ya kujikinga na mashambulizi ya Magufuli
Kawaida mungu hamfichi mnafiki na sasa mmeanza kuonja unafiki wenu wa kushangilia kila litokalo mdomoni mwa viongozi wenu leo hii kafanye muamala benki vat ya 18 inakusubiriMngekuwa na ugumu wa maisha msingepata nguvu za kuandamana, mngejikita kufanyakazi kukabiliana na hali hiyo. Mnasumbuliwa na shibe
Hayo ni mawazo yako lkn ukweli upo palepale kuwa wananchi sasa hivi kila kona wanajuta kuichagua ccmHahaaa, wananchi wanalalamikia ubabe Wa Magufuli? Kwa akili yako unadhani wananchi ni wabunge Wa UKAWA? TUKO zaidi ya mil.45 na tunajua kazi nzuri ya rais wetu
Na mtaendelea kula msoto ndiyo akili iwarudieEti "tunaisoma namba wote"...Post yako inadhihirisha ufinyu wa ubongowako...mudawote huu unadhani kazi ya chama tawala ni kuumiza wapinzani ndo maana inapotokea muelekeo flani wa kiuchumi ambao haubagui chama (eg mfumuko wa bei), unapata ahueni kwasababu unaamini hata wanaCCM wanakuwa affected. Silly boy!
Ni ngumu kuwaamini tena, tangu mlivyoacha ajenda ya ufisadi mkawa watetezi wa ufisadi, wenye akili timamu kweli waliachana na nyinyiUKAWA wakitumia vizuri nafasi hii watashinda zaidi.kila kona kwenye nchi yetu wananchi wameanza kulalamika juu ya ubabe wanaouona...upinzani unganeni..n
Watu wenye ugumu wa maisha wanajaza uwanja mpira saa kumi na mbili alfajiri halafu washinde hapo mpka usiku? Tafuteni kick ingine nyie mafisadiKabisa kwani huu msoto na ugumu wa maisha na mlundikano wa kodi ni kwa wana ukawa