S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Dec 10, 2011 Thread starter #21 Mipango imekamilika, sasa wanaenda kulala ila kuna tarifa nilizozpata hivi punde tu kua kuna wanafunzi wengine wamekua wakianguka na kuzimia kwa njaa, hii ni kwa mujibu wa wanafunz hapa mabibo hostel. Jaman sijui tunaelekea wapi nchi hii!
Mipango imekamilika, sasa wanaenda kulala ila kuna tarifa nilizozpata hivi punde tu kua kuna wanafunzi wengine wamekua wakianguka na kuzimia kwa njaa, hii ni kwa mujibu wa wanafunz hapa mabibo hostel. Jaman sijui tunaelekea wapi nchi hii!
Sokwe Mjanja JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 575 Reaction score 298 Dec 10, 2011 #22 Mazoezi ya siku 2 yatasaidia kitu kweli?
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Dec 10, 2011 Thread starter #23 AirTanzania said: Kuwatunukia Mafisadi na Kuwapa Shahada za bure kama Dr Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete Hekima ni Busara PAW Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! Kuwa na Busara Click to expand... mkuu, sasa nimekuelewa, asante kwa kunielimisha
AirTanzania said: Kuwatunukia Mafisadi na Kuwapa Shahada za bure kama Dr Dr Dr Dr Dr Dr Kikwete Hekima ni Busara PAW Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! Kuwa na Busara Click to expand... mkuu, sasa nimekuelewa, asante kwa kunielimisha
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Dec 10, 2011 #24 Wasomi wa karne hii ni janga la kitaifa. Huwa wanasoma saa ngapi?.
S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,637 Dec 10, 2011 Thread starter #25 Sokwe Mjanja said: Mazoezi ya siku 2 yatasaidia kitu kweli? Click to expand... nafikiri jibu wanalo wana udsm wenyewe ngoja tusubiri mambo yatakuaje hiyo j3
Sokwe Mjanja said: Mazoezi ya siku 2 yatasaidia kitu kweli? Click to expand... nafikiri jibu wanalo wana udsm wenyewe ngoja tusubiri mambo yatakuaje hiyo j3
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Dec 10, 2011 #26 AirTanzania said: Sio kulikomboa Taifa? Hekima ni Busara PAW Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! Kuwa na Busara Click to expand... Ni muhimu
AirTanzania said: Sio kulikomboa Taifa? Hekima ni Busara PAW Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako! Kuwa na Busara Click to expand... Ni muhimu