Elimu haijawakomboa.
Elimu haijawakomboa.
Elimu haijawakomboa.
Naona hali ya hatari inaendelea kutangazwa, kuna tarifa pia kua kuna wanafunzi wameanza kushindia na kulalia karanga na maji kwa kukosa bumu
we unajua maana ya elimu au unakokotwe kama plau la ngombe. Tumia ubongo badala ya makalio.
karanga ni very nutritious, waendelee hivyohivyo.
Chuo bora Tanzania waacheni wagome