Wana sua 1st year

gauz

Member
Jul 23, 2013
12
0
Nenda kwenye email yako utakuta username na password ya kuingia kwenye profile yako ya chuo [suasis] hapo uta downlod addmissin letter na student invoice pia utaona registration namba, over.
 
Thanks,now nimeona,pamoja sana,wamenitumia username,password,na registration number
 
Back
Top Bottom