Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.
Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.
Nini namaanisha, ni hili jambo la Yanga kumchezesha mchezaji asiyethibitishwa, mbona TFF hawamtaji na kanuni hazifuatwi.
Tupo baridi na msemaji wetu kujifanya msema ukweli, kuwa timu yetu mbovu, ubovu tulio nao umesababishwa na Simba wenyewe.
Ila hili jambo la Yanga kama hawalioni, ila ingekuwa ndio Simba imefanya hivyo basi hakika tungekoma sana.
Juzi hapa Yanga waliishurutisha Azam media kufuta taarifa za Mayele alizosema Yanga. Unaona kabisa wenzetu hawapo tayari kuchafuliwa hata kidogo ila sisi tupo baridi.
Najua mtakuja kusema mpira ni dakika 90 na ndio zinaongea lakini tukumbuke hiyo nayo ni kanuni, na bila kanuni kila mtu atafanya anachotaka.
Ni mawazo yangu tu.
#Sina Imani na viongozi wa Simba akiwemo Ahmed ally
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Masandakolozidad SC.
23. 5imba SC.
View attachment 2981167View attachment 2981169
Upo sahihi kabisa, hasa nikikumbuka sakata la SIMBA na KIBUBU DENIS. wakati KIBU DENIS anataka kusajiliwa na SIMBA wana YANGA waliibuka na hoja kuwa KIBU siyo Mtanzania hivyo akisajiliwa atakuwa international player. Lengo lilikuwa ni kupunguza nguvu ya SIMBA ktk usajili kwa wachezaji wa kigeni.Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.
Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.
Nini namaanisha, ni hili jambo la Yanga kumchezesha mchezaji asiyethibitishwa, mbona TFF hawamtaji na kanuni hazifuatwi.
Tupo baridi na msemaji wetu kujifanya msema ukweli, kuwa timu yetu mbovu, ubovu tulio nao umesababishwa na Simba wenyewe.
Ila hili jambo la Yanga kama hawalioni, ila ingekuwa ndio Simba imefanya hivyo basi hakika tungekoma sana.
Juzi hapa Yanga waliishurutisha Azam media kufuta taarifa za Mayele alizosema Yanga. Unaona kabisa wenzetu hawapo tayari kuchafuliwa hata kidogo ila sisi tupo baridi.
Najua mtakuja kusema mpira ni dakika 90 na ndio zinaongea lakini tukumbuke hiyo nayo ni kanuni, na bila kanuni kila mtu atafanya anachotaka.
Ni mawazo yangu tu.
#Sina Imani na viongozi wa Simba akiwemo Ahmed ally
Kabla ya yote kwanini TFF hawamtaji huyo mchezaji ?Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.
Ni kwamba kwenye barua ya TFF wamesema kuwa Yanga wamekiuka katika FIFA’s Regulations on the Status and Transfer of Players (“RSTP”)
Na kosa lao ni kutoingiza uthibitisho wa malipo wa mchezaji husika kwenye system (TMS)
Je RSTP ni nini? Sheria yake ipoje?
Je mchezaji asiyekamilishiwa kuingiziwa taarifa ya malipo kwenye RSTP anakuwa ni mchezaji halali au sio mchezaji halali?
Cheza mpira wewe mpira ni uwanjani sio mdomoni utajiwe wewe kama nani ni mchezaji wako si wa yanga🤣🤣🤣🤣Kabla ya yote kwanini TFF hawamtaji huyo mchezaji ?
Wewe umeleta uzi hapa unahoji kukatwa point kwa Yanga kama vile unajua sheria kuliko hao FIFA.Kabla ya yote kwanini TFF hawamtaji huyo mchezaji ?
Huyo ni mbumbumbu tu usipoteze mda wakoWewe umeleta uzi hapa unahoji kukatwa point kwa Yanga kama vile unajua sheria kuliko hao FIFA.
Kutajwa mchezaji hakutasaidia kitu kama vipengele vilivyowekwa kwenye barua hauvijui.
Ili uzi wako ili uwe valid, unatakiwa utoe ufafanuzi juu ya kanuni na sheria ya RSTP ili kuonesha uhalali wa Yanga kukatwa point.
Ndio maana huko juu nikakuuliza yale maswali.
Hoja yangu ni mpira unachezwa hadharani sio mdomoni kama unavyofanya weweHuna hoja
Ni quote wapi nimesema kukatwa kwa point ? Mbona unaniwekea maneno ? Haya sasa nitakujibu ila niambie ni mchezaji gani huyo ?Wewe umeleta uzi hapa unahoji kukatwa point kwa Yanga kama vile unajua sheria kuliko hao FIFA.
Kutajwa mchezaji hakutasaidia kitu kama vipengele vilivyowekwa kwenye barua hauvijui.
Ili uzi wako ili uwe valid, unatakiwa utoe ufafanuzi juu ya kanuni na sheria ya RSTP ili kuonesha uhalali wa Yanga kukatwa point.
Ndio maana huko juu nikakuuliza yale maswali.
Uliposema TFF hawafuati kanuni, je ulitaka ni kipi TFF wafanye zaidi ya hicho walichofanya kuwafungia Yanga usajili?Ni quote wapi nimesema kukatwa kwa point ? Mbona unaniwekea maneno ? Haya sasa nitakujibu ila niambie ni mchezaji gani huyo ?
Wamtaje huyo mchezaji, simple tu yasiwe mambo mengi, alafu mengine yafuayeUliposema TFF hawafuati kanuni, je ulitaka ni kipi TFF wafanye zaidi ya hicho walichofanya kuwafungia Yanga usajili?
Ndio ujibu kwanza nilichokuuliza, wewe si ndiye ulianza kuleta uzi wa kujifanya unajua vifungu, utaratibu, sheria, na kanuni za soka kuliko TFF na FIFA. Tupe elimu kuhusu sheria ya RSTP
Hakuna ulijualo, nikajua unachokiandika ukielewa vizuri kumbe ni sifuri tu unaendeshwa na mihemko ya kiusimba usimba kutafuta pakujifutia machozi hata kwa nje ya uwanja. Kama huyo mchezaji ni wa msimu huu, maanake hata CAF champions league ameshiriki hivyo kama ingekuwa ni ishu kubwa basi huyo angekuwa disqualified kucheza CAF champions league kwasababu vigezo vya CAF kumfanya mchezaji kuwa halali wasingefikia. Hivyo hadi CAF champions league kama kashiriki maanake vipengele vilivyokiukwa havimfanyi asiwe mchezaji halali wa Yanga.Wamtaje huyo mchezaji, simple tu yasiwe mambo mengi, alafu mengine yafuaye
Uko sahihi kabisaTatizo Simba haina viongozi au Ina viongozi mamluki, mfano utaona yanga wanaprint mabango na kuweka logo ya Simba ambayo imesajiliwa kihalali, umeshasikia tamko lolote toka kwa viongozi wa Simba.
Kuna mechi ya Simba na yanga Chama na Aziz K walitegeana kuingia uwanjani na kupeana mikono wakafungiwa mechi tatu lakini mechi moja kabla ya Simba kucheza na yangaMdathiri na mchezaji wa timu pinzani walirudia tukio lilelile wakatozea faini ili mradi Mdathiri asiadhibiwe na kukosa mechi ya Simba ulisikia kauli yoyote kwa viongozi wa Simba .
Msimu iliyopita Simba ilitoka Morocco. Kucheza na wydad ijumaa jumanne wakasafiri kucheza na Namungo wakati jumapili wakapangiwa kucheza na Azam shirikisho wakatolewa. Mechi na Namungo wachezaji ilibidi baadhi wapumzishwe lakini hakuna kauli yoyote ya viongozi waliyotoa.
Simba waliotoka kucheza ijumaa na Al ahly jumanne wakaenda Kigoma kucheza na mashujaa wakatolewa ulisikia kauli ya viongozi kulalamika kuhusu ratiba.
Wa kulaumiwa siyo Tff Bali ni wanachama wanaochagua viongozi mamluki na wanasiasa wasiojua kitu.
Ulitaka maajabu yapi bi dada?5imba wamefulia hawana maajabu kabeesa
Kwanza kabla ya kuanza kutaka point za mezani naomba unieleweshe hapa.
Ni kwamba kwenye barua ya TFF wamesema kuwa Yanga wamekiuka katika FIFA’s Regulations on the Status and Transfer of Players (“RSTP”)
Na kosa lao ni kutoingiza uthibitisho wa malipo wa mchezaji husika kwenye system (TMS)
Je RSTP ni nini? Sheria yake ipoje?
Je mchezaji asiyekamilishiwa kuingiziwa taarifa ya malipo kwenye RSTP anakuwa ni mchezaji halali au sio mchezaji halali?
Shida unajiona una jua sana nimekuona toka mwanzo na matango yako sikutaka tuingie kiundani.Hakuna ulijualo, nikajua unachokiandika ukielewa vizuri kumbe ni sifuri tu unaendeshwa na mihemko ya kiusimba usimba kutafuta pakujifutia machozi hata kwa nje ya uwanja. Kama huyo mchezaji ni wa msimu huu, maanake hata CAF champions league ameshiriki hivyo kama ingekuwa ni ishu kubwa basi huyo angekuwa disqualified kucheza CAF champions league kwasababu vigezo vya CAF kumfanya mchezaji kuwa halali wasingefikia. Hivyo hadi CAF champions league kama kashiriki maanake vipengele vilivyokiukwa havimfanyi asiwe mchezaji halali wa Yanga.