Wakamilishe utaratibu upi wakati wameshayakoroga ? Alafu kwa kukusaidia tu, kuna baadhi ya taratibu na kanuni hazipo FIFA ila ni za TFF tuSheria na kanuni zote za mpira zinaongozwa na FIFA na wala sio TFF, hivyo wao FIFA ndio waliotoa hukumu ya kufungiwa usajili kwa Yanga hadi pale watakapokamilisha utaratibu na laiti kama wangeona sheria ilipaswa Yanga kupokonywa point basi wangetoa muongozo kwa TFF kupokonywa point.. FIFA ndio kila kitu kwenye mpira wa miguu.
1) Nitajie hizo kanuni ambazo zipo TFF pekee lakini FIFA azipoWakamilishe utaratibu upi wakati wameshayakoroga ? Alafu kwa kukusaidia tu, kuna baadhi ya taratibu na kanuni hazipo FIFA ila ni za TFF tu
5imba wamefulia hawana maajabu kabeesa
1. Namba ya wachezaji wa kimataifa ni mfano mzuri tu, TFF Ina ukomo nadhani ni 12 kama sikosei, mengine katafute wewe1) Nitajie hizo kanuni ambazo zipo TFF pekee lakini FIFA azipo
2) kila kosa lina hukumu yake asa unaposema kuwa wakamilishe utaratibu wakati wameshayakoroga ni wazi kwamba unataka ifuatwe unavyotaka wewe na sio FIFA. maana FIFA wameamua kuifungia Yanga na wakiweka sawa kosa lao watafunguliwa. Asa wewe kinakuuma nini FIFA kuamua hivyo?
1) Nitajie hizo kanuni ambazo zipo TFF pekee lakini FIFA azipo
2) kila kosa lina hukumu yake asa unaposema kuwa wakamilishe utaratibu wakati wameshayakoroga ni wazi kwamba unataka ifuatwe unavyotaka wewe na sio FIFA. maana FIFA wameamua kuifungia Yanga na wakiweka sawa kosa lao watafunguliwa. Asa wewe kinakuuma nini FIFA kuamua hivyo?
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa.
Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu hatupo hivyo utakuta tunajipa lawama wenyewe kuwa ni uzembe wetu, na sipingi hilo.
Nini namaanisha, ni hili jambo la Yanga kumchezesha mchezaji asiyethibitishwa, mbona TFF hawamtaji na kanuni hazifuatwi.
Tupo baridi na msemaji wetu kujifanya msema ukweli, kuwa timu yetu mbovu, ubovu tulio nao umesababishwa na Simba wenyewe.
Ila hili jambo la Yanga kama hawalioni, ila ingekuwa ndio Simba imefanya hivyo basi hakika tungekoma sana.
Juzi hapa Yanga waliishurutisha Azam media kufuta taarifa za Mayele alizosema Yanga. Unaona kabisa wenzetu hawapo tayari kuchafuliwa hata kidogo ila sisi tupo baridi.
Najua mtakuja kusema mpira ni dakika 90 na ndio zinaongea lakini tukumbuke hiyo nayo ni kanuni, na bila kanuni kila mtu atafanya anachotaka.
Ni mawazo yangu tu.
#Sina Imani na viongozi wa Simba akiwemo Ahmed ally
Hizo zote ulizoweka hapo ni sheria na kanuni za FIFA.
Nilitahadhirisha hili, hata hilo mpira wa hadharani ni kanuni lazima izingatiwe. Fuata kanunimpira unachezwa hadharani wewe unataka kuuchezea mezani yaani usajili mizee halafu utake kuomba Sheria ikusaidie yanga itawateda sana vmcheza mpira acha kulia lia hamna mpira wa hivyo mzee🤣🤣🤣🤣🤣
Cheza mpira hadharani wewe sajili wachezaji sio unasajili kina papaa omari wanjombe halafu utegemee kucheza mpira wa mezani hiyo haipo siku hizi acha kulia lia imekula kwako this is yangaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilitahadhirisha hili, hata hilo mpira wa hadharani ni kanuni lazima izingatiwe. Fuata kanuni