Wana Simba acheni uongo

Horoya imenyang'anyana mchezaji na Al Ahly lini mkuu ?

Horoya ni selling club kama ilivyo Yanga, Gor Mahia, Namungo, Azam na Ruvu shooting.

Kwanza wachezaji wa Horoya asilimia 80 ni raia wa Guinea Conakry.
Nimekwambia Simba hawajafikia hata kunyang'anyana wachezaji na timu kama Al Ahly au Hororya. Wala sikusema Hororya kunyang'anyana wachezaji na Al Ahly
 
m nikajua umeleta habar ya maana kumbe n Hiyo endeleen kujitekenya huwa mnakataga pumz round ya pil
 
ze-dudu pamoja na Chaos Master na wengineo msijidanganye kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita kwa kulinganisha mechi nne za awali.
Na wewe kwa kitendo cha kujibu hilo, inaelekea umeshaingia kwenye mtego tayari. Unawezaje kulinganisha mechi za awali tu wakati upangaji wa ratiba is a random process?
 
Hizo tetesi tu, hata hivyo ikumbukwe kuwa Mo hatochukua kocha wa kuwalipa gharama kubwa. Angekuwa ni mtu wa hivyo basi tungeona akinyang'anyana wachezaji na akina Al Ahly, Hororya, wydad Casablanca, n.k ila tunamjua ni mwekezaji mbahili.
Hata sisi wachaga tunajua kuwa siri ya utajiri ni ubahili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom