wana siasa wote ni waongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wana siasa wote ni waongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by twenty2, May 27, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli wanasiasa ni waongo kwasababu wanapopewa madalaka hawatekelezi wajibu wao lakini kipindi cha uchaguzi ni wakwanza kutoa haadi nitafanya iki,nitawapa lakini wakisha ingia bungeni wanajikumbuka wao na matatizo yao.si ndio uongo wenyewe.
   
Loading...