Wana-saut msidanganyike....wezi wanaitaka serikali yenu ya chuo..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana-saut msidanganyike....wezi wanaitaka serikali yenu ya chuo..!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Shoz-nigga., Apr 22, 2012.

 1. S

  Shoz-nigga. New Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchakato wa uchaguzi mkuu chuo cha St. Augustine umeanza ambapo kampeni rasmi zimezinduliwa hapo jana na zinatarajiwa kukamilika j.4 ya wiki ijayo na kupigwa kwa kura siku ya J.5.

  Ktk hali ya kushangaza kama si kustaajabisha, Tume ya uchaguzi imekuwa MBOVU, YA KI*PUU*ZI, ISIYOTENDA HAKI, YENYE KUELEMEA UPANDE WA MGOMBEA MMOJA WA URAISI na mambo mengine mengi sana yenye KUCHEFUA, KUUDHI, KUKERA kama si kuwafanya wengine WATAPIKE kutokana na uozo huo....
  Ubovu na uozo wa tume ya uchaguzi kwa bahati nzuri haujaenea katika tume nzima, Umeanzia KWA MWENYEKITI WA TUME *MALEBO DEUSDEDITH* na member wachache ambao WAMEKUWA CORRUPTED na Mgombea mmoja wa Uraisi *BW. ANTHONY*:whoo:

  ***...SINA HAJA YA KUFICHA WALA KUUMAUMA MANENO....***

  Tuna USHAHIDI na soon TUTAUTHIBITISHA KWA UMMA WA WANA-SAUT namna RAIS ALIYEPITA *MATABA COSMAS* alivyoiba fedha za SAUT, Alivyovuruga utaratibu wa tume kwa kuunda Tume yake ya kipuuzi na kuweka watu wake ikiwemo kumuandaa Mgombea wa Urais *ANTHONY* ili afunike upuuzi alioufanya wakati wa kipindi chake...

  TUNA USHAHIDI ya Vikao wanavyovifanya ktk Hotel ya GOLDEN CREST ili kuiba kura na TUNAJUA KUWA BW. ANTHONY KAHONGA TSH. MILLIONI TATU (3) ktk tume ili wizi wa kura ufanyike,

  TUNA USHAHIDI namna mwenyekiti wa tume Alivyohongwa Tsh. MILIONI. 1 na huyohuyo bw Anthony, ili afanye mizengwe baadhi ya wagombea wenye sifa MARA MIA.9 yake waondolewe ili akose mpinzani mwenye sifa.

  TUNA USHAHIDI namna Huyu mwenyekiti wa tume *MALEBO* ALIVYOAHIDIWA U-WAZIRI MKUU ktk serikali hiyo ya kipuuzi ambayo anadhani itapita.

  Tunajua kuwa Anthony huyo kadanganywa na Mataba eti "UONGOZI UNA HELA, WE HONGA ZITARUDI UKIINGIA MADARAKANI......PUUUUUUUU*****MBBAAA****VUUUUUUU...!!! MTASUBIRI SANA...

  Tunajua kuwa kuna watu wameandaliwa ili KUIBA KURA, KUWADHURU KIMWILI wagombea wenza wa huyo Anthony ili washindwe kufanya kampeni.

  SAUT SIYO SHAMBA LA BIBI.! NA KAMWE HATUTANGIZA UPUUZI KTK UONGOZI WA CHUO..!!!:censored:

  Tunayasema haya kwa uchungu mkubwa, kwa kuwa hatupendi kuwa sehemu ya uovu wowote unaotendeka ndani ya tume na serikali kwa kujua au kutokujua.
  Mwanahisabati mashuhuri wa Marekani miaka ya 1940's Albert Einsten aliwahi kusema kuwa;


  Kwa maana hiyo, tumeamua kuchukua hatua dhidi ya uovu tuliouona, ili tusifanyike kuwa sehemu ya uovu huo...

  KITIMA BE AWARE......TUNAKULETEA USHAHIDI VERRY SOON na WANA-SAUT MSIDANGANYIKE.....HATUTARUHUSU WEZI KATIKA CHUO CHETU HASA CHUO KIKUU.....

  WANA-SAUT AMKENI.......KATAENI UCHAFU WA MATABA NA SERIKALI YAKE ILIYOPITA..

  ANTHONY NA VICE WAKE *ALICE* HAWAFAI..!!!!
   
 2. S

  Shoz-nigga. New Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  gotcha..!!
   
 3. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  Kazeni uzi,kwani na huko kunakupeana kama ccm,daahhhh bas balaa magamba kila sehem
   
 4. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haya madudu hajaanza leo...kawaida ya marais huwa wanaandaliwa na chuo sio nyie...jifanye kupinga warumi wanakufukuza kimya kimya...mie hadi namahitim chuo sikuwahi chagua rais yeyote!!..achana na kitima we piga buku umalze uondoke!
   
 5. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka hatakuwa hajatimiza haki yake ya kuchagua kiongozi kumbuka.
   
 6. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hii message yako ingeleta maana kweli kama ungebandika kwenye ubao wa matangazo wa pale SAUT, lakini kuileta hapa sidhani kama itakuwa na impact yoyote. Tena usishangae mtu unayemsema hata hajui kama kuna kitu kinaitwa JF.
   
 7. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Namfahamu Malebo nitamtumia sms kumjulisha hili.sijajua kama jamaa yangu huyu kaingia ufisadi wa ccm.Lakini ni hakimu huyu anawezaje kufanya haya?milion moja najua atachukua.Nani alimchagua kuwa mwenyekiti wa tume?
   
 8. mcShayo

  mcShayo Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  DUUUH...!! Mi mwenyewe nimesikia hayo!..sitaki kuyaamini kwa asilimia zote ILA kama ni kweli, CHUKUENI HATUA.......Nchi hii itajengwa na wazalendo tu na "kama mtachukua hatua" tutawaamini na tuko nyuma yenu.!!!!
   
 9. Z

  ZeTicha Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakat wanatumia pesa, nyie tumien nguvu ya umma
   
Loading...