Wana Nigeria wana influence kubwa katika Mitandao, wanamtrendisha sana Jux

Wana Nigeria wana influence kubwa katika Mitandao, wanamtrendisha sana Jux

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Screenshot_20250428-143359.png

Hata ukipress hio trend unaona vyombo vikubwa vya nigeria vikmzunguzia yeye.

Tangia mwamba amepata jiko kutoka nigeria, amekuwa talk of town karibia. Africa Magharibi nzima.

Sasa aitumie kama fursa, asikae kizembe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom