Wana Mtwara wakilna chamoto

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Wakipewa mateso makali
kwa kudai gesi yao, ni onyo kali kwa
wana chadema
 

Attachments

  • image.jpg
    55.6 KB · Views: 606
hii kitu niliingiza humu,mods wakafuta
labda niliandika vibaya
 
Duh..... Yaani siamini kama yanatokea hapahapa Tanzania. Yote haya ni kwasababu ya kutetea uhai Ridhiwan??
 
Kikwete asubiri kuchapwa kofi kama Gbagbo wa Ivory Coast.
 
Boflo ni kweli???

'wee unadhani ni photoshop aithee,teh teh................mwenzako akinyolewa bhandugu na wee tia maji nywele zako aithee babangu eeh,hii inji hii,mh'
 
hii picha ni ya ivory cost sio tanzania. leta picha ya mtwara wacha kupoteza watu. ukitaka kujua just copy and search google image utaona source!! wadanganye watoto wako na ndugu zako mkuu!!!
 
hii picha ni ya ivory cost sio tanzania. leta picha ya mtwara wacha kupoteza watu. ukitaka kujua just copy and search google image utaona source!! wadanganye watoto wako na ndugu zako mkuu!!!

Yote hayo kuinyonga CCM, Chadema wachukue nchi?? heheheh they still have a long way to go!! CCM JUU
 
Kwa hiyo, hata JWTZ wawe wanakung'uta traffic police wanaowachelewesha kwenye 'traffic lights' ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakishuhudia mfano pale Ubungo mataa?
 
Hacha uchochezi kwa kudanganya watu..na usichafue jeshi la Wananchi..hiyo siyo Tz, kwanza picha hii ilishatupiwa humu kitambo sana kabla hatujaota hayo mambo ya Mtwara.
Pia JWTZ hawavai mabaka ya hivyo.
Acha uongo mkuu na uchochezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…