Wadau yote tisa wana Moshi na Arusha na hasa Moshi mmetisha. Pamoja na Maneno meengi kwamba hawataenda nyumbani sikukuu hii hali ni tofauti kabisa na pengine Mwaka huu ndo mmetia fora. Raia ni wakutosha hatari kabisa na.mwaka huu wengi ni mambo ya private cars kuliko public. Maeneo mbalimbali vijijini kwa kweli hadi inafurahisha. Shime wadau utamaduni huu.ni mzuri sana na unahamasisha maendeleo tuuendeleze.
Zile porojo zimekosa nguvu kabisa....
Big up sana woooote.
Zile porojo zimekosa nguvu kabisa....
Big up sana woooote.