Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,892
- 44,265
Asee jitahd uache m mjomba wng aliendkeza hizo pombe mpk sasa tushazika zetu anakarbia kukata 2 yrs ...... bro jitahd xn uache nawe unakoelekea tutakupote....
unataka kuniambia kuwa asingekuwa anakunywa pombe angeishi milele?
Asingeonja mauti?
unataka kuniambia kuwa asingekuwa anakunywa pombe angeishi milele?
Asingeonja mauti?
Kuna jamaa hapa kitaa tumemalizia 40 yake juzi! Ndipo nikaamini kweli pombe inaua pombe mbaya bora uache tu ndugu
Kwahyo we unazn qngekua hanywi angeharbika mapafu utumbo na mengn yalomkuta ..... wacha ujeuri ukizidisha n mby
Hhhaa mashaaaalah nashukuru mume wangu hatumii kilevi chochotee kileee,safii hanuki sigara wala pombee yaan swaafiiiii
usiseme pombe imemuua bali sema mpango mbovu wa ratiba ya dayat, na kutokuwa makin kuchunguza afya yake ndio vmemuua
Hahahah sicheki kwamba nmefurahi hapana ila ni kweli nitakumwaga...very soon(joking)
pombe ni adui wa maendeleo.
Ng'ang'ana sasa ... tn uwe unalalamo ndani ya chupa na mikopo ya hzo pombee
ww dogoo acha mbwembwe kila kitu kinatakiwa kifanyike kwa wakat maalum na nafas maalum.
Usipozingatia mda na nafasi hata soda tu itakufanya uwe maskin.
Wanaume wanaokunywa pombe wananuka jamaniii sio siriii yaan inapendeza muwe mnatumia wote ili mnukiane vizurii
There is forces behind ndo maana kila ukijaribu kuacha unashindwa!
Mi.kaka angu yaan ilifika point alikuwa akikosa hela anaenda hadi kwenye zile za kienyeji!
Bt today imebaki story!
Ameacha kabisa.
Mungu hashindwi
Km upo