Wana MMU mnapo honga msijisahau sana

Wana MMU mnapo honga msijisahau sana

akili zingine!!! ndio maana ulijenga bila kujijua, hakukosea yule mwanamke kwa yale alokwambia!

Akili zingine zipi hizo wakati mie nisipohonga sipewi papuchi....
Yaani mie mwanamke akinigusa kweli napata msisimko unaopelekea dushe kusimama Dede...kweli tena atoto
 
Last edited by a moderator:
raha ya kuwa mchepuko ni kuhongwa bana acha zako

sawa ila natumia akili kwenye kuhonga.
ila wanawake wakihudumiwa watasema wanahongwa kitu ambacho sio kweli mkipewa hela sio kwamba mnahongwa ni sehemu ya mapenzi tu
 
Mie ndio bingwa wa kuonga...nimemjengea nyumba mchepuko bila hata kujijua....nashangaa siku hiyo baa tumekolofishana ndio ananichana laivu...ooohh mwanaume hata haujielewi na nyumba nimejenga kwa hela zako wakati we bado umepanga....

Ongera sana mkuu
 
Kwenye swala la kuhonga utahonga kwa akili endapo tu kichwa kidogo hakijasimama lakini kichwa kidogo kikisha simama baaaasi! kichwa kikubwa hakifanyi kazi tena kinabaki tu kuitikia ndio,nitakupa.aah mbona mambo madogo tu hayo n.k. mwisho wasiku unarudi home kwako mikono nyuma huku unajiuliza 'hivi kweli kanichomoa tisini elfu?.
 
Kama zipo unatumia tu. Wazazi wanapata kama kawaida na mwanamke/wanawake wanapewa kama kawaida.
 
Mbona kawada we unamuonga anayekupa tamtam. Mama ye si aliongwa na baba au?
Kikubwa uonge na huduma upewe inayoendana na pesa uliyotoa.
 
Kuna baadhi ya wanawake usipohonga hupati kitu muhimu usisahau masuala ya msingi pamoja na family.kuhonga hakukwepeki ni kama kuoga yani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom