Pole sana, yamekukuta yapi tena?
mkewe kamkataa mtoto wa nje ya ndoa.
sasa sijui alitaka tumshauri Anavyowaza yeye!
alafu anadang'anya mbona mi mwanaume lakini nilikuwa namtetea mkewe
Ulileta mada ili usaidiwe kumuadhibu Mwanamke?mfano ukileta mada inayomhusu mwanamke hata kama ana makosa wanawake wenzao watamtetea kwa kila namna kana kwamba wao ni malaika hawafanyi makosa tubadilike jamani.
Ndani ya jamiiforum mwanamke hatetewi.mkewe kamkataa mtoto wa nje ya ndoa.
sasa sijui alitaka tumshauri Anavyowaza yeye!
Ndani ya jamiiforum mwanamke hatetewi.
Ukimtetea unakua umewakosea wanaume.alipokuwa anatetewa ni kwenye vijiwe vya kahawa?
Nshaona sehemu hii ukishashiba makande unakuja kupoteza muda huku. Hamna ushauri wa maana hata siku moja. Ni sehemu ya kujifurahisha tu ukiwa umechoka. labda watabadilikaMara kwa mara watu wamekuwa wakileta mada mbalimbali kwa lengo la kuomba ushauri na mawazo ili yawasaidie kuchanganyana na zao katika kufanya hitimisho kwa yale yalowasibu lakini wana MMU wengi(sio wote) wamekuwa wakikejeli na wengine kutoa ushauri mfu ambao haujengi na wakati mwingine wakitoa ushauri kuegemea jinsi zao mfano ukileta mada inayomhusu mwanamke hata kama ana makosa wanawake wenzao watamtetea kwa kila namna kana kwamba wao ni malaika hawafanyi makosa tubadilike jamani.