wana MMU em twendeni SIASANI leo...kunanukia..

wana MMU em twendeni SIASANI leo...kunanukia..

yule mzee mkavu kama dagaa kauzu, kaleta blah blah tu mi nilizane nayeye angedo the needful. btw hao wanne wanatosha kupeleka message kwa mawaziri wengine mizigo.

Kweli mzee mgumu yule kama....nlikua nasubiri kwa hamu atangaze kujiuzulu
 
mambo mazito hayo! Mi huwa nafikiria mi ndo wife afu ndo naelewa mchezo ulivyo, hapa kulia kwanza mengine baadaye.
 
Back
Top Bottom