Wana Mbuguni tunangoja soko kwa hamu

Wana Mbuguni tunangoja soko kwa hamu

rico

Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
21
Reaction score
2
Baada ya mbunge kijana Joshua Nassary kutimiza moja ya ahadi zake ya kurudisha soko la mbuguni tena, wananchi wa kata ya mbuguni na sehemu za jirani wanangoja kwa hamu kurejea tena kwenye soko lao huku kukiwa na hofu kuwa mkurugenzi kawekwa kiti moto na kuambiwa aje akanushe.

Kurudi soko Mbuguni imekuwa kama mwiba kwa mafisadi kwani hapa Mbuguni hawauziki tena hivyo wanajaribu kufanya kila mbinu ku kwamisha ila ngoma inaonekana kuwa nzito.

Ni takribani siku tano zimebaki tusubiri tuone mbichi au mbivu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom