Wana matarajio ya kufika mbali?

Wana matarajio ya kufika mbali?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414730090816.jpg
 
Hapo wanafanya upembuzi yakinifu wakishagraduate watayatumia hayo maji kwa miradi ya umwagiliaji, ndivyo baadhi ya miradi hapa nchini inavyotumia muda mrefu katika kuitekeleza!
 
Hapo wanafanya upembuzi yakinifu wakishagraduate watayatumia hayo maji kwa miradi ya umwagiliaji, ndivyo baadhi ya miradi hapa nchini inavyotumia muda mrefu katika kuitekeleza!

Mmh hii Kali Red Scorpion tena ya karne
 
Last edited by a moderator:
Mazingira na aina ya maisha, yameharibu feature ya watu wengi... kwa hayo mazingira wataishia katika huo huo mtaro, labda neema ya Mungu iwazukie
 
Hapo walipofika pia ni mbali sana,
Statistics zina sema vifo vya watoto wadogo vimepungua 75%
2015 utapata update yake..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom