Mkuu;
Uliyoongea ni pumba yote hayana ukweli.
Mwaka huu CCM ilikuwa haipati kitu ndio maana wanatumia nguvu kubwa katika sehemu zote kuanzia Ubunge, Udiwani na Urais.
Ingelikuwa haki inatendea hapa CCM ilikuwa inanyanganywa asilimia kubwa ya majimbo, kata na nafasi ya urais.
Mfano DSM, katika box la kura hakuna hata jimbo moja ambalo CCM wameshinda kihalali. Lakini kote wamebadilisha matokeo ili CCM ipate ushindi katika majimbo. Ndio maana sehemu zile ambazo kulitokea fujo na ucheleweshaji matokeo ni kwamba upande wa Upinzani walikuwa wameshinda hivyo walikuwa wanatafuta njia ya kubadilisha.
Hivyo ndugu yangu kwa uliyoyasema kwangu binafsi naona si sahihi kutokana na ukweli ulivyo.
TUOMBE MUNGU TUISHI KWA AMANI, TUANGALIE MAISHA BAADA YA UCHAGUZI. MIAKA MITANO SI MINGI INGAWA KWA MWENYEZI MUNGU NI MINGI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!