Wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies;
kwa niaba yangu binafsi niwashukuru Arusha JF wing (Kipapatio cha JF arusha), kwa idea nzuri.....ni mfano mzuri kuwa zaidi ya keyboard. Nafahamu kila mmoja wetu yupo self motivated na anaweka nguvu binafsi kwenye keyboard lakini zaidi katika kukutana na kujuana.
Kipapatio cha JF Arusha mmeonyesha mfano mzuri wa kuanza kuji-organize (mfahamu tu kuwa huku HEADQOURTERS tulianza muda mrefu na ndio maana ilikuwa rahisi kwetu kuja Arusha katika wingi wetu).
Mapokezi-----A
Suprise.........A
Ucheshi.........A++
Organization...A
Mahusiano......A
Mapenzi..........A
Urafiki.............A
Ni hayo tu........VERE VERE
pole na uchovu mydear,,,huyu sahara hebu endelea nae tu mie na maty hatuko kabsaaa,,maty ni wa aika mangi kwa hiyo utamiliki mwenyewe,,huyo method ni mpango wangu............,,mcng u gal
sasa LD naona umeanza wivu...............wivu ni dalili ya kwanza kwamba umeanza kupenda.
I am still watching where this is heading...........naona inaelekea kwenye PM
WL upo dada? miss you so much.Nasikia tu habari zako za Tarangire kwa mbali kuwa ulimwacha Bwana na ukateleza....
niko poa sanai,,kuanzia sasa wewe ni mali ya sahara,,loner hajambo anaosha vyombo
Hajafikisha salamu bana. Nimtwange faini nini ka ya vijisenti kadhaa!
ha ha ha ha ha, WL kwanza asante sana dear, Mungu ni mwema tumefika salama,
Aisee WL, kumbe na nyie mshamtoroka Sahara gafla,
Ok ok, hmethod ni mpango wako kumbe, lakini kanambia, ntakuwa mother house,
Mpango wangu mins, mpango wa kando eeh
Nipe maelezo kidogo, hmethod ni father house somewhere?
Nisaidie WL coz nshakata tiketi ya kuja huko Ijumaa.
yaani umpige faini kabisa nilimwambia wiki moja kabla na nahic yeye ndio sababu ya kukwama kwako aliomba ndumba ya kinigeria kwa preta. Pole na kuharibikiwa bana umekosa uhondo lol
hahaha,,love this,,,is vere vere!
hahaha,,uko vzr unaelewa haraka,,ni mpango wangu wa nje kimey mpango mzima,,basi na ww kama umeamua kumfanya mpango wa kando ni poa maana caring ni sharing,,twende pamoja
Wiselady acha bana! Ukikuta watu wanamalizia kula wanasema ulizaliwa wakti wa njaa! Sasa mimi hapa nilizaliwa wakati gani. Mi naenda safari yangu tarehe 16/1. Nitakuwa pale Mto wa Mbu kwa night 2. Mto wa Mbu usiku kumekucha acha utani bana. Siku ya kwanza nitalala tu. Kesho yake nitaenda Ngorongoro. Siku ya tatu nitafanya game drive pale Manyara national park then mchana nitarudi Moshi. Maty karibu tujumuike pamoja.
yeah my dia vere vere indeed. Halafu mpe salam zangu nyingi sana loner nashukuru kwa kunilinda na kuni2nza halaf na hz usifikishe nitakupiga ban nimepewa umod kila ataeniuzi ban
dah!naweza kuimagine hiyo safari iakavyokuwa sweet!ntamshauri maty asiikose ila itabidi muende kama hanemuna,,hiyo overnyt ya mto wa mmbu inanitia shaka kutokana na mazingira,,tutembelee tena basi
ntafikisha mpenzi usije kunipa ban maana unaonekana una hasira!!haya mkakati tuliopanga umeshaanza kutekeleza?nilikwambia ni asbh na jioni
Ha ha haaaaaaaaaa hii kali nitaanza kuitumia hii misamiati. Pretaaaaaaaaaaa upo!
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?
Mimi nilipata kampani ya MJ1 mwanzo mwisho, yeye hakulala kabisa......she was there for me.what a gal!
dah!naweza kuimagine hiyo safari iakavyokuwa sweet!ntamshauri maty asiikose ila itabidi muende kama hanemuna,,hiyo overnyt ya mto wa mmbu inanitia shaka kutokana na mazingira,,tutembelee tena basi