[font color="#A52A2A"][span style="font-family: comic sans ms"]Jamani wadau wenzangu mlioko Arusha naja huko kwenu tualikane basi japo futari tu si mnajua tena udugu kualikana[/span][/font]
ziko wapi hizo aisee<br />
<br />
On a very serious note wana JF arusha big up saaana sana mko wakarimu kama ndama mutoto ya ng'ombe<br />
<br />
naunga mkono alochosema shantel 100%, u guys rock ngoja ntarudi...