wana jf.tupongezane na kutakiana heri ya mwaka mpya wa 2014 hapa!

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
5,913
1,208
tumekuwa pamoja kama ndugu lisha ya tofauti zetu za kiitikadi na utashi.ni ombi langu kuwa tutukiane heri ya mwaka mpya wa 2014 nawatakia mwaka mpya mwema wana jf wote bila kuwasahau.1.baba v,2 .invissible.3.dk.slaa.4.ritz.3..malcoporo.4.c.lukos.
 
Back
Top Bottom